Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

Kawahi ujira wako.kuanzia jumapili ni kilio na kusaga meno.ccm out for ever!
12063357_10203851939897205_2154781033594332324_n.jpg
 
Kulinda kura ni mita 10 tu kwenye mstari wa wapiga kura.....mita 200 ni nyingi sana.
😃😃😃😃
Shikamoo WATANZANIA
 
Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Lowassa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka CHADEMA kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.

Makomeo akizomewa watu wanaweka ka-clip la ushahidi, mbona wewe mwigulu huweki clip tushuhudie?
 
Ubora kama husemi urongo ungetupia na clip ya hao unaowaita vijana wazalendo. lakini kama hukusikiliza radio one au hukuangalia ITV uliza kulikuwa na nini ifakara na mlimba
Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Lowassa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka CHADEMA kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.
 
Ulivyochoka na shati lako la mtumba!

Asikusumbue kichwa chizi huyo, mtu aliyemchoka Lowassa anapata wapi muda wa kuandika jina lake kwenye karatasi ili tu alikate? Mi nimenunua gari T 2015 ENL, ukiona mtu ana gari T 2015 CCM hilo ni la kale, namba C na D tulishatoka, wallah namba E ndio habari ya sasa
 
Naona watu wa mfumo wameingia sana jamvini kipindi kipindi hiki cha uchaguzi.mmesahau watakaokuwa kuwaua ni watu wa low cadre ambao hawajui hata smart phone ni nini
 
Back
Top Bottom