Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

Magufuli alizomewa mbeya.

Sio Mbeya tu mkuu hata hapa Ubungo (Dar) pia Kigamboni walimsusia mkutano, biafra pia watu walijitokeza wachache. CCM imeamua kununua wazomeaji ili na Lowassa azomewe. Ndio zao kujitekenya na kucheka wenyewe
 
Labda lowasa yule wa nyumbani kwenu sio huyu tunayemjua
 
Mgombea Urais kupitia Chadema,Lowasa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka Chadema kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.

Hiyo kazi anayo maana Kilosa, Morogoro mjini na Vijijini, Kilombero, Mvomero, Ulanga na Gairo vijana hawadanganyiki. Wanasema wao kazi tu. Magufuli ndiyo mpango mzima kwao.
 
Mkuu kichaa huyo anayaka kupotisha umma, baada ya kuona hadi waruguru wameamka

Waluguru tumeamka tunataka mabadiliko.

Mh. makalla kuna kipindi cha nyuma alienda Mgeta pale Nyandila Sokoni watu walimpiga na nyanya hadi akakimbia.

chezea Waluguru weye!!!!!!

UKAWA ipo Juu Morogoro hadi vijijini wanajua MABADILIKO.
 
Mgombea Urais kupitia Chadema,Lowasa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka Chadema kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.

Naona unatamani azomewe anbacho hakitatokea. Hata mukileta mamluki kama wale wa kinondoni, eti chadema harisi, lol! Mutaumbuka tu ccm mwaka huu, chama chenu hakiuziki tena tanzania. Munalo mwaka huu. Kwa hali hii, lazima mutazonewa. Kwa hizo picha chache hapo chini, kwanini ccm musizomewe?

Kijana kama wewe upo hovyo bado una shabikia ccm karine hii? Ccm itazomewa tuu, kwa sababu imeshindwa kazi, na hawana jipya tena. Viva Ukawa na Lowassa, timahitaji mabadiliko ya mfumo kandamizi wa ccm adui wamaendeleo.
 
Attachments

  • 1445589372146.jpg
    1445589372146.jpg
    37 KB · Views: 515
  • 1445589382816.jpg
    1445589382816.jpg
    10.8 KB · Views: 491
  • 1445589413096.jpg
    1445589413096.jpg
    43.3 KB · Views: 483
  • 1445589440476.jpg
    1445589440476.jpg
    19.7 KB · Views: 941
  • 1445589468236.jpg
    1445589468236.jpg
    16 KB · Views: 456
Hiyo kazi anayo maana Kilosa, Morogoro mjini na Vijijini, Kilombero, Mvomero, Ulanga na Gairo vijana hawadanganyiki. Wanasema wao kazi tu. Magufuli ndiyo mpango mzima kwao.

Kwetu Mgeta ni UKAWA tu labda huko kwenu. Tumeamka hatudanganyiki. Tunataka MABADILIKO MWAKA HUU.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mwenyekiti wenu alisema, leo anafanya nn?
 
Attachments

  • 1445589708012.jpg
    1445589708012.jpg
    27.8 KB · Views: 404
Hiyo kazi anayo maana Kilosa, Morogoro mjini na Vijijini, Kilombero, Mvomero, Ulanga na Gairo vijana hawadanganyiki. Wanasema wao kazi tu. Magufuli ndiyo mpango mzima kwao.

You..🐗... Moro leo ni balaaa..

Ni Lowassaaaaaa... mabadilikoooo...!!!

CCM haiwezi shinda hata mkoa mmoja... hili shika sawa sawa...!!! Uje hapa jtatu jioni ndio uniambie...!!!

##CCM haiwezi shinda HATA MKOA MMOJA...!!!

Mmepoteza Morogoro, Tanga, Dodoma, Iringa, Ruvuma, Mtwara, Lindi, Pwani... hii ndio ilikuwa mikoa stronghold ya CCM... sasa hamna tena kitu hapo...!!!

Hiyo mikoa 👆👆👆 yote inaenda UKAWA... nakili hii vema, Jtatu jioni au j4 mchana next week UKUMBUKE haya...!!!

CCM is DEAD...!!!
 
Vijana wazalendo safi san, huyo mzee mgonjwa tu

HIZO NDIO SIASA ZA MAJITAKA ACHENI VIROBA.JADILINI HOJA HAMNA HATA NA HURUMA ZA MB ZETU
 
Sio Mbeya tu mkuu hata hapa Ubungo (Dar) pia Kigamboni walimsusia mkutano, biafra pia watu walijitokeza wachache. CCM imeamua kununua wazomeaji ili na Lowassa azomewe. Ndio zao kujitekenya na kucheka wenyewe

Tingatinga mikutano yake iko Live huwezi kudanganya siyo huyo dhaifu wenu
 
Mgombea Urais kupitia Chadema,Lowasa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka Chadema kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.

Wewe nimuongo and you are a real failure. Sijui umefikafikaje hapa! This is a home of great thinkers, and NOT home of failures like you!!!!
Huyu ndugu Lowassa hajawai kuzomewa tangia aingiye ukawa. Otherwise its the complete opposite!
 
Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Lowassa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka CHADEMA kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.
Join Date : 27th September 2015
Posts : 576
Rep Power : 419
Likes Received233
Likes Given0

Join Date : 26th September 2015
Posts : 218
Rep Power : 347
Likes Received59
Likes Given0
 
Back
Top Bottom