Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

Magamba bhana,kwel kabisa mnafikir magufuli atashinda urais! kiukwel,bada ya kuwapata mashabiki kwa kutumia wasanii njaa,J2 mnaenda kuambulia aibu kwenye sanduku la kura....Hata mtumie mbinu gani,Maguful ataishia kupata <40%.....Shetani yupo upande wenu....tusubirini matokeo,najickia hata kinyaa kuchangia thread iloanzshwa na gamba
 
ZOMEAAA HUYO Lowassa, tena msimpe hata sekunde moja.

Safi sana vijana wetu mnao mzomea Lowassa.
 
Acha uongo mtoa mada watu tupo Amani imetawala
 
vijana wengi wa ccm wameshikiwa akili zao wengi wao hawana kazi na hawana matumaini ya kupata kazi lakini utasikia wakisema hapa kazi tu!
 
...morogoro ipi hiyo? au hii ya ifakara ambako watu wamelipuka mpk machozi yakataka kunitoka!
Hakika nimeamini;hakuna mahali popote Tanzania hii magufuli anaweza kumshinda Lowasa kwa kukubalika na wengi, hakuna.
 
UKAWA sasa ni UKIWA, hawana chao sio DAR tu bali kila kona ya Tanzania. Leo Lowassa na Sumaye WAZOMEWA kule Moro. Hapo sasa.
 
Magufuli magufuli
 

Attachments

  • 1445605281592.jpg
    1445605281592.jpg
    30.8 KB · Views: 390
Mgombea Urais kupitia CHADEMA,Lowassa kapata wakati mgumu tena Hapa Morogoro baada ya kundi la vijana wanaojiita Wazalendo kutoka CHADEMA kumzomea huku wengine wakibeba mabango yaliyoandika hatudanganyiki. Kelele zimetanda hapa mjini Morogoro vijana wanasema hawatafanya kosa kwa kuchagua mtu aliye na tamaa.
Wanamwonea huyu mzee wasimzomee hadi amalize kumpigia kura Magufuli.
 
Back
Top Bottom