joramjason
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 425
- 132
Kama alienda kukagua miradi ya maji basi EL ni jembe
Mmmh hili neno jembe sijui lina maana gani

alipoinunua obama automaticaly inakua mitambo safi.Shida ya watu wa nchi hii ni umbumbumbu..mitambo ile ile ya richmond ndo hiyo hiyo ikawa dowans ba hiyo hiyo ndo power africa sijui...sasa obama alizindua mitambo iliyonunuliwa kwa ufisadi ama?
Hawamuwezi huyo na mimi nionavyo hata wafanyeje huyo lazima akikwae wakikosea ccm wakaweka mtu tofauti basi sisi ni watawala TzJan 8th 2014
Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Brother Edward Lowassa, ametembelea miradi ya maji katika kata ya Selela iliyopo Jimbo lake la Mondul na kuongea na wapiga kura wake na kuwapiga vijembe viongozi wa chama chake waliomwambia watamchukulia hatua kali kwa sababu ya kutangaza nia ya kugombea kiti cha urais mwanzoni mwa mwezi hata kwa chama JIWE atakuwa rais 2015.
Brother Lowasa aliwakumbusha akina Nape na Mangula kwamba yeye Uwezo anao, nia anayo, wananchi wananipenda wakanitangazia siyo mimi nimetangaza na kuhusu harambee nimechangia kama wenzangu wanavyochangia, au nikiitwa kwenye harambee nisishiriki mpaka uchaguzi wa rais 2015 upite? Hiyo ni adhabu. Tuwe wangalifu na kuchambua maneno, Tusiwe wepesi kulaumu na kuhukumu na pia kuwa kiongozi siyo kutisha na kuogopesha wanachama, wote tuna haki sawa katika chama chetu.
Ni hivi majuzi viongozi wa juu wa CCM walimuonya Lowasa na wananchama wengine wa chama hicho kuacha kujitangazia kuwania urais kupitia CCM kwa vile muda wake rasimi bado na pia kutoa michango ya harambee mbali mbali, na kwa kufanya hivyo ni kuvunja kanuni, sheria za mwongozo wa chama na adhabu yake ni ku-jiqualify automatically wenyewe kwenye kuwania urais. Hata kinana mmoja ndugu sebastiani Kiondo wa Sanawari Arusha alisema vyama siasa nchini vyote lao moja kupigania maslahi yao badala ya wananchi,...ebu niambe ndugu mwandishi Brother Lowasa anakosa gani kama siyo fitina za viongozi wakuu wa CCM?, ukiona hivyo wana mgomea wao tayari na tayari ameshajaza fomu ya kugombea kinachosubiliwa ni siku ya kumtangaza, alimaliza ndugu kiondo kwa masikitiko.
in Magu Kahangara.
Mmmh hili neno jembe sijui lina maana gani
na lazima raisi atoke kaskazini ama slaa ama lowasa
Jan 8th 2014

Tuache tabia ya kumpandikiza mtu maneno,Mh Lowassa hakusema maneno hayo, vyombo vya habari vilikuwepo mbona havijaripoti, wacha kudanganya watu
Wakijaribu kumgusa Lowassa ccm itafutika kwenye historia ya vyama vya siasa
lowassa mbona anajitafutia kifo asubuhi na mapema hivi?!!
hizi pesa anazomwaga siku akikatwa jina si ataanguka kwa presha huyu
wanasiasa wote wizi iliyo baki ni kupata mwizi atae weza kutuletea maendeleo
Kinachoendelea kwa EL ni ushahidi tu kwamba watanzania tuna bongo kama za samaki.eti leo lowassa naye anajadriwa kwenye masuala ya uraisi,tena kibaya zaidi anao wapambe wanaozidi kuongezeka siku hadi siku.imefika mahala eti wapambe wa lowasa wanauliza kwani lowasa alifanya kosa gani?lile halikuwa kosa lake.hivi wamesahau au ni upofu utokanao na pesa anazogawa mithiri ya njugu?hivi ukiacha kashifa ya Richmond huyu bwana ana historia safi kweli?kama huyu jamaa ni msafi nikwanini mwaka 1995 alikwepa mwaliko wa kawawa pale msasani,appointment ambayo ilitakiwa kumkutanisha na nyerere,ili nyerere akamsafishe kama lowasa alivyokuwa ameomba kabla?kwanini maswali ya mwalimu juu ya huyu bwana alivyopata kumiliki mali nyingi kiasi kikubwa cha utajiri alionao,utajiri ambao mwalimu alidai unazidi wakwake yeye aliyekuwa rais wa nchi kwa miaka 23,hayakuwahi kujibiwa mpaka anaingia kaburini?kwanini matakwa ya mwl.nyerere ya ccm kuhitisha cc kwa gharama zake mwenyewe(mwalimu) ili akapate kumsafisha lowasa huko hayakutekelezwa?
JF kiboko nimecheka daahAmesha geuzwa SACOS ila yeye hajijui