iPad ya Apple
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 322
- 126
Lowassa hafai hata Kuwa Kiongozi wa serikali za mitaa, acha abaki Kuwa Mfadhili wa makanisa na miskiti
iliyokosa Hofu ya Mungu Upako wa kiroho kwa kufurahia Pesa haramu zinazotakatishwa makanisani na miskitini.
Watu wanaweza kuletewa Jambo baya na wakalipinga jambo Hilo kwa sababu ya ubaya wake lakini watu wanapoletewa
jambo baya lililochanganyika na pesa hushindwa kulipinga si kwa sababu ya kutouona ubaya wake Bali kwa kuamini
pesa iliyomo inaweza kuuwekap pembeni UBAYA wa Jambo Hilo.
NB: Binafsi simkubali Lowassa kuwa kiongozi wa Taifa ili si tu kwasababu simpendi Bali Historia yake ndio inamuhukumu.