Zitto kaolewa!.... Za Sabodo hukuzijua? Bangi 2pu!Tumepoteza matumaini na watu tuliojua wanatujali, kumbe wanatuzuga tu. Unajua hizi hizi fedha za mafisadi zinaliwa na waliotuaminisha kwamba watatutoa kwenye umaskini?
Zinasaidia kampeni za vyama hivi tulivyoviamini, halafu utetezi unakuwa ni eti fedha itoke CCM au kwa Kikwete sio tatizo ili mradi tu ilitumika vizuri, independence iko wapi?