Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,727
Nipeni mbadala!
Chadema hata ishike dola ni watu wangapi wanauwezo wa kuwa mawaziri yakinifu hapo?
Ni heri kumpa nchi a succesful business man kuliko mtu kama sitta amabae ana lack confidence ya kukaa na ku critically debate na eastafricans wenzake yeye ni kukimbia tu akiona kazidiwa intellect ndio ataweza kaa kwenye international tables huyu na ma capitalist wa dunia?
Hivi waTZ mnaelewa maana ya kujiuzulu? Edward alitumia hekima na busara sana kujiuzulu na pia ilikua sababu yaliyotokea yanaenda against principles zake.
Ilikua aidha amwaibisha raisi wake au a step down, kujiuzulu ni sifa ya uwajibikaji amabyo watanzania wengi hatuelewi kabisa!
Leo hii ingekua Pinda ana hata nukta ya aibu na sense ya responsibility angejiuzulu! Lakini sababu hamwelewi ni accountability mnaoana kubaki kwenye madaraka hata kama kosa kubwa likitokea ndio ungangari wenyewe!
Mimi pamoja na kuichukia CCM sana ila kura yangu ya urais mpaka sasa ni kwa bro edo ya ubunge itaenda chadema regardless ya watakaemsimamisha jimboni kwangu.