Hata kama ni mzuri au anafaa asubiri wananchi wenyewe waseme. Anatumia fedha kuwalaghai wananchi hizo pesa kazipataje? Na atazirudishaje?
Huwa haombi kwenda kwenye harambee ila anaombwa aende. Na hizo roho mbovu mwaka huu mtalialia sana
Hata kama ni mzuri au anafaa asubiri wananchi wenyewe waseme. Anatumia fedha kuwalaghai wananchi hizo pesa kazipataje? Na atazirudishaje?
Ndugu zangu, Mh Lowasa aachane na siasa mwambie asije akajikuta anakufa kwa presha. Serikali haitompa ruhusa luwa Rais huu ndio ukwel. Watamdhohofisha kwakweli niliwah sema nauona mwisho wa Lowasa
Usituletee hekaya za nyerere hapa edo ndio mpango mzima hao walokutuma umchafue waambie umedunda
mkuu na mwaka umeanza , utabiri kibao, kigogo atakufa kwa ghafla by sheikh yahaya junior hatujui ni yupi, sasa naona muendelezo wake kama kuna dalili, lakini vile vile , mchungaji T.B joshua alimtabiria atakuwa kiongozi wa nchi yako eti naona mungu ameniambia , swali lilofuata inawezekanaje kwa lowasa aliyekwisha chafuka na dowans richmond, jibu, amekiri mbele ya mungu na mungu kamsamehe na kumbariki, sasa kwa hili la mungu hakuna kitu kinachoshindikana kwa mungu . kweli lowasa naona kama amemrudia mungu , kiasi cha mali yake kubwa anaitoa kwa jamii nafikiri anajutia na haoni future yake zaidi ya kuwatumikia wananchi katika roho na kweli , binadamu anaweza akawa hivi ila kwa mungu akawa vileNdugu zangu, Mh Lowasa aachane na siasa mwambie asije akajikuta anakufa kwa presha. Serikali haitompa ruhusa luwa Rais huu ndio ukwel. Watamdhohofisha kwakweli niliwah sema nauona mwisho wa Lowasa
Kinachoendelea kwa EL ni ushahidi tu kwamba watanzania tuna bongo kama za samaki.eti leo lowassa naye anajadriwa kwenye masuala ya uraisi,tena kibaya zaidi anao wapambe wanaozidi kuongezeka siku hadi siku.imefika mahala eti wapambe wa lowasa wanauliza kwani lowasa alifanya kosa gani?lile halikuwa kosa lake.hivi wamesahau au ni upofu utokanao na pesa anazogawa mithiri ya njugu?hivi ukiacha kashifa ya Richmond huyu bwana ana historia safi kweli?kama huyu jamaa ni msafi nikwanini mwaka 1995 alikwepa mwaliko wa kawawa pale msasani,appointment ambayo ilitakiwa kumkutanisha na nyerere,ili nyerere akamsafishe kama lowasa alivyokuwa ameomba kabla?kwanini maswali ya mwalimu juu ya huyu bwana alivyopata kumiliki mali nyingi kiasi kikubwa cha utajiri alionao,utajiri ambao mwalimu alidai unazidi wakwake yeye aliyekuwa rais wa nchi kwa miaka 23,hayakuwahi kujibiwa mpaka anaingia kaburini?kwanini matakwa ya mwl.nyerere ya ccm kuhitisha cc kwa gharama zake mwenyewe(mwalimu) ili akapate kumsafisha lowasa huko hayakutekelezwa?
Wakijaribu kumgusa Lowassa ccm itafutika kwenye historia ya vyama vya siasa
Kama kweli EL atakuwa rais wa Tanganyika nitaamini kuwa WaTz tumelogwa na hakuna mganga wa kutuagua. Jamani hata kama kusoma hatujui hata picha nazo hatuzioni!
Huyu mzee ananifurahisha sana..ana urguments za msingi sana...watu wanapolalamika richmond mara dowans...mi nakuwa sielewi kwa kuwa ndo mitambo hiyo hiyo kaja obama kuizindua..au wao USA hawajui!!!watz amkeni tunaonekana mapimbi sana kwa ajili ya mambo haya
Wakijaribu kumgusa Lowassa ccm itafutika kwenye historia ya vyama vya siasa
Kinachoendelea kwa EL ni ushahidi tu kwamba watanzania tuna bongo kama za samaki.eti leo lowassa naye anajadriwa kwenye masuala ya uraisi,tena kibaya zaidi anao wapambe wanaozidi kuongezeka siku hadi siku.imefika mahala eti wapambe wa lowasa wanauliza kwani lowasa alifanya kosa gani?lile halikuwa kosa lake.hivi wamesahau au ni upofu utokanao na pesa anazogawa mithiri ya njugu?hivi ukiacha kashifa ya Richmond huyu bwana ana historia safi kweli?kama huyu jamaa ni msafi nikwanini mwaka 1995 alikwepa mwaliko wa kawawa pale msasani,appointment ambayo ilitakiwa kumkutanisha na nyerere,ili nyerere akamsafishe kama lowasa alivyokuwa ameomba kabla?kwanini maswali ya mwalimu juu ya huyu bwana alivyopata kumiliki mali nyingi kiasi kikubwa cha utajiri alionao,utajiri ambao mwalimu alidai unazidi wakwake yeye aliyekuwa rais wa nchi kwa miaka 23,hayakuwahi kujibiwa mpaka anaingia kaburini?kwanini matakwa ya mwl.nyerere ya ccm kuhitisha cc kwa gharama zake mwenyewe(mwalimu) ili akapate kumsafisha lowasa huko hayakutekelezwa?
Hakuna anayemchafua Lowassa ila yeye ndiye mchafu!! I know him inside out. Hakuna tofauti ya Lowassa na Biwoti wa Kenya. Huwezi kuwa kiongozi unaotakiwa kutetea maslahi ya umma halafu kila kilicho na interest binafsi wewe upo na hapa ipo mifano mingi sana ya kukupa. Hapa Tanzania kuna watu wengi waadilifu, wenye upeo na uzalendo kuliko Lowassa ambao CCM inaweza kuwachagua.
Nani mpini? Sitta au sumaye?Kama alienda kukagua miradi ya maji basi EL ni jembe
Zitto kaolewa!kama mbavyo cdm imefutika kwa kumgusa zzk