Bei Mbaya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,262
- 856
Nimependa hiyo kuwa wana mgombea wao na ameshajaza form anasubiri siku ya kurudisha. ..
Mkuu,
hivi Visebengo vya Lumumba vipo CCM-EL,CCM-Sitta,CCM-Migigro ama CCM-Membe?
Nimependa hiyo kuwa wana mgombea wao na ameshajaza form anasubiri siku ya kurudisha. ..
Mkuu,
hivi Visebengo vya Lumumba vipo CCM-EL,CCM-Sitta,CCM-Migigro ama CCM-Membe?
Yeye si mjinga anawekeza. Kumbukeni EL ana nguvu kubwa nyuma yake kwani na alishasema hawakukutana njiani na naniliu!Amesha geuzwa SACOS ila yeye hajijui
Utasubiri sana!!!! Lakini hata hivyo huwa silumbani na walevi kama wewekama mbavyo cdm imefutika kwa kumgusa zzk
mini kilimzuia kutokea kwenye kikao cha msasani ili akasafishwe kama alivyoomba,hadi akasababisha mzee wetu kuunganishwa naye,wote wakahitwa wapumbavu nakutakiwa kuacha upumbavu wao?
Utasubiri sana!!!! Lakini hata hivyo huwa silumbani na walevi kama wewe
Hii ndio inaonyesha ni jinsi gani tulivyo wapumbavu!!
Mipesa anayotoa kwenye harambee anatoa wapi? kama ni marafiki zake...ni kina nani? na atazilipaje hizo pesa akifika Ikulu?
Lowassa Mwizi bwana, nenda TTCL yeye ndie kaifilisi na anaendelea kuinyonya!!! Hatuwezi kuongozwa na lijizi bwana!!
Sijuhi huyu mzee akitemwa na kamati kuu ya CCM katika mchujo wa awali wa wagombea Urais atakuwaje? pressure na kisukali zitapanda sana!Jan 8th 2014
Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Brother Edward Lowassa, ametembelea miradi ya maji katika kata ya Selela iliyopo Jimbo lake la Mondul na kuongea na wapiga kura wake na kuwapiga vijembe viongozi wa chama chake waliomwambia watamchukulia hatua kali kwa sababu ya kutangaza nia ya kugombea kiti cha urais mwanzoni mwa mwezi hata kwa chama JIWE atakuwa rais 2015.
Brother Lowasa aliwakumbusha akina Nape na Mangula kwamba yeye Uwezo anao, nia anayo, wananchi wananipenda wakanitangazia siyo mimi nimetangaza na kuhusu harambee nimechangia kama wenzangu wanavyochangia, au nikiitwa kwenye harambee nisishiriki mpaka uchaguzi wa rais 2015 upite? Hiyo ni adhabu. Tuwe wangalifu na kuchambua maneno, Tusiwe wepesi kulaumu na kuhukumu na pia kuwa kiongozi siyo kutisha na kuogopesha wanachama, wote tuna haki sawa katika chama chetu.
Ni hivi majuzi viongozi wa juu wa CCM walimuonya Lowasa na wananchama wengine wa chama hicho kuacha kujitangazia kuwania urais kupitia CCM kwa vile muda wake rasimi bado na pia kutoa michango ya harambee mbali mbali, na kwa kufanya hivyo ni kuvunja kanuni, sheria za mwongozo wa chama na adhabu yake ni ku-jiqualify automatically wenyewe kwenye kuwania urais. Hata kinana mmoja ndugu sebastiani Kiondo wa Sanawari Arusha alisema vyama siasa nchini vyote lao moja kupigania maslahi yao badala ya wananchi,...ebu niambe ndugu mwandishi Brother Lowasa anakosa gani kama siyo fitina za viongozi wakuu wa CCM?, ukiona hivyo wana mgomea wao tayari na tayari ameshajaza fomu ya kugombea kinachosubiliwa ni siku ya kumtangaza, alimaliza ndugu kiondo kwa masikitiko.
in Magu Kahangara.
![]()
kumbe ukiwa unamfukuza mwizi kwa kitendo chake kiovu cha kupora,alafu ukakutana na kiibaka mwingine anakwapua unaacha kuukemea wizi na unaushangilia?
mama yako ndiye aliyemzuia
Endelea kupaka rangi kwenye upepo...EL ni maarufu anakubalika zaidi ya CCM na WanaCCM kwa umoja wao x 1000... I'm afraid so far CCM haina option nyingine zaidi ya EL... Kubali kata ujinyonge ...Kinachoendelea kwa EL ni ushahidi tu kwamba watanzania tuna bongo kama za samaki.eti leo lowassa naye anajadriwa kwenye masuala ya uraisi,tena kibaya zaidi anao wapambe wanaozidi kuongezeka siku hadi siku.imefika mahala eti wapambe wa lowasa wanauliza kwani lowasa alifanya kosa gani?lile halikuwa kosa lake.hivi wamesahau au ni upofu utokanao na pesa anazogawa mithiri ya njugu?hivi ukiacha kashifa ya Richmond huyu bwana ana historia safi kweli?kama huyu jamaa ni msafi nikwanini mwaka 1995 alikwepa mwaliko wa kawawa pale msasani,appointment ambayo ilitakiwa kumkutanisha na nyerere,ili nyerere akamsafishe kama lowasa alivyokuwa ameomba kabla?kwanini maswali ya mwalimu juu ya huyu bwana alivyopata kumiliki mali nyingi kiasi kikubwa cha utajiri alionao,utajiri ambao mwalimu alidai unazidi wakwake yeye aliyekuwa rais wa nchi kwa miaka 23,hayakuwahi kujibiwa mpaka anaingia kaburini?kwanini matakwa ya mwl.nyerere ya ccm kuhitisha cc kwa gharama zake mwenyewe(mwalimu) ili akapate kumsafisha lowasa huko hayakutekelezwa?
Utabiri wa mtoto wa marehemu Shekhe Yahaya unaonyesha kuna nguli wa siasa atatemwa na chama chake na kisha kufariki. Bila shaka mwanasiasa huyu ni E. Lowasa ama Zitto.
Kwahiyo acha Lowasa atapetape maana mfa maji haachi kufanya hivo.
Ndugu zangu, Mh Lowasa aachane na siasa mwambie asije akajikuta anakufa kwa presha. Serikali haitompa ruhusa luwa Rais huu ndio ukwel. Watamdhohofisha kwakweli niliwah sema nauona mwisho wa Lowasa
Sijuhi huyu mzee akitemwa na kamati kuu ya CCM katika mchujo wa awali wa wagombea Urais atakuwaje? pressure na kisukali zitapanda sana!