Lowassa awalaani wanaomzushia mambo kupitia Mitandao ya Kijamii!

Lowassa awalaani wanaomzushia mambo kupitia Mitandao ya Kijamii!

MAADUI NA WENYE NIA OVU DHIDI MH. LOWASSA NI WENGI,TUNAMUOMBA MUNGU WETU MWENYE WINGI WA BARAKA AMWEPUSHIE MBALI UOVU WOTE,AMBAO TUNAAMINi UNAZUSHWA NA WALE WOTE WASIOMTAKIA MEMA RAIS WETU MTARAJIWA,TUNASEMA "SHINDWA!"KTK YEYE ALIYE HAI,AMEN
 
[FONT=palatino
linotype]TAMKO KULAANI MATENDO YA KIKUNDI VYA WATU KWENYE MITANDAO YA
JAMII[/FONT]


Kumekuwa na muendelezo wa matukio kadhaa
kutoka kwa kikundi cha watu kumuhusisha Mh Lowassa na matukio ya uongo
na kumzushia vitu vya ajabu kabisa, hususani katika mitandao ya
kijamii.


Kumesambazwa picha ya noti ya shilingi
Mia tano yenye picha ya Mh Lowassa. Kitendo hicho siyo Utani, bali ni
dhihaka na dharau kwa alama za utaifa na mamlaka ya
nchi.


Mh Lowassa anaheshimu maoni ya watu na
nguvu ya mitandao ya kijamii, lakini anasisitiza umuhimu kwa wananchi
kutumia nguvu hiyo ya mawasiliano kwa kujadili maendeleo ya nchi yetu
badala ya kuwa watu wa kuzusha mambo yasiyo na tija kwa nchi
yetu.


Imetolewa na ofisi ya Mh
Lowassa(mb)


Machi 7, 2014
Yaani nikiona jina la Lowassa moyo wangu unafarijika sana.
 

Attachments

  • IMG-20140204-WA0004.jpg
    IMG-20140204-WA0004.jpg
    23.3 KB · Views: 173
POLE SANA MZEE......Lakini wewe si fisadi tu kwa hiyo hatuwezi tukakushangaa tukiona umeamua kutengeneza notihiyo. Jirekebishe mzee na urais hutaupata ng'o kupitia CCM labda uende chama kingine. CCM tunataka wanachama safi ndio wagombee urais




TAMKO KULAANI MATENDO YA KIKUNDI VYA WATU KWENYE MITANDAO YA JAMII

Kumekuwa na muendelezo wa matukio kadhaa kutoka kwa kikundi cha watu kumuhusisha Mh Lowassa na matukio ya uongo na kumzushia vitu vya ajabu kabisa, hususani katika mitandao ya kijamii.

Kumesambazwa picha ya noti ya shilingi Mia tano yenye picha ya Mh Lowassa. Kitendo hicho siyo Utani, bali ni dhihaka na dharau kwa alama za utaifa na mamlaka ya nchi.

Mh Lowassa anaheshimu maoni ya watu na nguvu ya mitandao ya kijamii, lakini anasisitiza umuhimu kwa wananchi kutumia nguvu hiyo ya mawasiliano kwa kujadili maendeleo ya nchi yetu badala ya kuwa watu wa kuzusha mambo yasiyo na tija kwa nchi yetu.

Imetolewa na ofisi ya Mh Lowassa(mb)

Machi 7, 2014
 
POLE SANA MZEE......Lakini wewe si fisadi tu kwa hiyo hatuwezi tukakushangaa tukiona umeamua kutengeneza notihiyo. Jirekebishe mzee na urais hutaupata ng'o kupitia CCM labda uende chama kingine. CCM tunataka wanachama safi ndio wagombee urais

utakuwa umetoka kusukumwa sikushangai!
 
Haiwezekani ataandamwa hadi kaburini, hatutaacha hasa tunapoona umeme unapanda.
 
Kumekuwa na muendelezo wa matukio kadhaa
kutoka kwa kikundi cha watu kumuhusisha Mh
Lowassa na matukio ya uongo na kumzushia vitu
vya ajabu kabisa, hususani katika mitandao ya
kijamii.
Kumesambazwa picha ya noti ya shilingi Mia tano
yenye picha ya Mh Lowassa.Kitendo hicho siyo
Utani, bali ni dhihaka na dharau kwa alama za
utaifa na mamlaka ya nchi.
Mh Lowassa anaheshimu maoni ya watu na
nguvu ya mitandao ya kijamii, lakini anasisitiza
umuhimu kwa wananchi kutumia nguvu hiyo ya
mitandao kwa kujadili maendeleo ya nchi yetu
badala ya kuwa watu wa kuzusha mambo yasiyo
na tija kwa nchi yetu.
Imetolewa na ofisi ya Mh lowassa(MB)
 
umechelewa hii ilisha letwa humu jamvin mods atakacho kifnya ataunganisha huu uzi
 
yani hii ni taarifa imetolewa na Lowasa!!ataweza kuchangia katiba mpya huyu
 
Haiwezekani ataandamwa hadi kaburini, hatutaacha hasa tunapoona umeme unapanda.


Mimi ni kati ya watu waliokua wanapenda kushabikia maneno ya kubebesha baadhi ya watu kuwa ndio chanzo cha matatizo ya nchi hii. Lakini nikaja kugundua kua chanzo cha matatizo ya taifa hili sio mtu mmoja wala kikundi cha watu bali ni watanzania wenyewe.Na wale wenye juhudi ya kusimamia maendeleo wanapigwa vita sana na mara nyingi wanaishia jufukuzwa kazi.Hali ilianza muda mrefu tangu serikali ya awamu ya kwanza. Mfano miaka ya 1980 palikua na vyama vya ushirika vyenye nguvu sana kila mkoa,makampuni ya uchukuzi imara sana,viwanda vingi n.k. Tujiulize je vilikufa kwa sababu ya ufisadi au tatizo lilikua nini? Tatizo kubwa lilikua ni iwezo mdogo wa wasimizi.kutochukua hatua kwa waukati. Kwa tafsiri hii ya kisiasa Kenya kuna ufisadi mkubwa sana ukilinganisha na Tanzania lakini Viongozi wa makampuni na wa serikali wa Kenya wana uwezo mkubwa wa kusimamia uchumi kuliko wa kwetu ambao wanatizamana kwa woga wa kuzuzushiwa majungu na kashfa. Tukiacha ushabiki Timu ile ya mwanzo aliyoingia nayo Kikwete ilikua ni timu yenye watu majasiri na wenye uwezo kiuongozi na kiusimamizi na kuthubutu.Tatizo lilikua ni ukubwa wa serikali.Tatizo la kupanda kwa bei ya umeme ni sheria inafanya TANESCO kuwa madalali wa kuuza umeme unaozalishwa na makampuni binafsi kwa wananchi badala ya kuyaruhusu makampuni binafsi kuuza umeme na kufanya ushindani wa kibiasharay.
Pia kumbuka serikali ya Zanzibar na ya Muungano ndozo zenye madeni makibwa na kubalance hali hiyo mwananchi inabidi abebeshwe mzigo. Kwa hiyo kupiga siasa na propoganda kwamba lowssa ndo amesababisha ni kujenga taifa la majungu na chuki na pia kuwasababisha waliopo madarakani kuwa wazembe na kujificha nyuma ya richmond kwamba tumeshindwa kwa sbabu ya fulani alituhumiwa.
 
Nyerere alimulani Lowasa na hatakuwa raisi wa nchi hii hata atubu yerusalem mwambieni auze mali zake zote na zile nyingi alizowaibia watanzania awagawie masikini ili apate kufunguliwa mbinguni ila hapa duniani akiwa raisi wa tz nahama nchi siongozwi na mwizi mimi!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom