Lowassa atinga mkutanoni Halmashauri Kuu, Waimba tuna imani na Lowassa

jf rudisheni accessibility ya jf kwa guest? Kwa nini muda huu tu?, mbona siku zingine access ipo?

mbona kila thread unadai hivyo uwe unasoma as a guest?! Si u log out mkuu kajina kanakuumbua! Teh teh teh! Teamlowassa
 
ni kweli... live kikwete yupo watu wanaimba tunaima na lowasa ukumbi mzima wajumbe wa lowasa...azam tv
 
attachment.php
hii sio kweli bbc wamesema kwenye ukurasa wao ni page fake so habari hii sio ya kweli
 
Pinda yeye hajaingia mkutanoni? Bilal je? mpaka aibu yaani. PM na Vice President wanaonekana hawana vigezo vya kuuvaa uRais ila akina January Makamba na wamama wanaoenakana wanaweza. Chama cha Machizi hiki. Ningekuwa Pinda ningetender resignation letter with immediate effect.
 
wameyataka wenyewe, ni kiherehere chao. hahahahahahah
 
Kifupi tusubiri hitimisho na tusikie kauli ya mwisho ya lowasa ila nachojua mpaka sasa watu wengi mamesha badilisha mawazo yao na kura wanajua watampatia nani au kuto piga kabisa
 
hizo ni taarifa za uwongo El kaenda Nairobi kupumzika then aje na majibu ya kipi anataka kufanya
 
Back
Top Bottom