Wapoti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 2,824
- 1,100
Amekatwa.
Amekatwa mkia tu kichwa bado anacho
Amekatwa.
JF rudisheni accessibility ya JF kwa guest? Kwa nini muda huu tu?, mbona siku zingine access ipo?
JF rudisheni accessibility ya JF kwa guest? Kwa nini muda huu tu?, mbona siku zingine access ipo?
Mgombea maarufu aliyekatwa jina Edward Lowasa ametinga ukumbini na kupokelewa kwa shangwe na vifijo. wajumbe bila kujali makundi yao waliimba ' tuna imani na Lowasa'....! Mwenyekiti ameweka mezani ajenda tatu, mosi ilani ya uchaguzi, pili kuondoa ukomo wa ubunge na udiwani na tatu wagombea Urais wa Zanzibar na Tanzania. Nitaendelea kuwajuza yanayajiri!
Any way mi shauku ishaisha kabisa na nishabadili mawazo yangu ya nani nitampigia kura