Ccm kinachowaangamiza ni matendo yenu ya kutuletea umaskini.ndivo ilivokuwa kwa ukandamizaji wa kikoloni.
BORA UMASKINI KULIKO KUWA TAJIRI BILA UTU.. unataka nini??? kama kwa miaka zaidi ya 20 unapambana kuwa prezidaa tena kwa kununua watu kwa bei yoyote...kuanzia wa mitaani, wa kwenye chama na sio chama kimoja.... Cha kwanza kilikuwa makini...wakala hela wakatosa na kukata bila huruma.... cha PILI kwa GEAR KUBWA.... nunua MWENYE KIGODA ambaye kwa bahati mbaya proffesional yake ni DJ MACHACHARI.... bila kusita na kwa mikono miwili bila kuangalia MASLAHI ya TAIFA amekubali DEAL.... HATAREEEE ...... UTAJIRI wa hivi Hautuhutakii!!!

Kwa hiyo huo uongo wanawadanganya wana CCM kuwa wako pamoja nao, kumbe wanavujisha mambo yanayoendelea huko ndani?Walioimba wapo wale watatu waanzilishi - Emmanuel Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa hawa ndio walioufundisha huo wimbo kwa hao wengine. Ninachokusikitikia wote hao bado wapo CCM ...
... siku zote unaambiwa SIASA NI UONGO ULIOKOMAA na katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
Kweli fedha ni mwanaharamu tunasema Waswahili!
Wale walioimba tuna ,,Imaani na Lowasa" mbele ya Raisi wa JMTZ na Mwenyekiti Mkuu wa CCM wako wapi? Jambo hili halijawahi kutokea TanZania viongozi kumdharau Raisi wa nchi na Mwenyekiti wa Chama kiasi kile!
Sasa swali langu ni kwamba wale walioimba wako wapi? Kwa maana kuamua kuimba ule wimbo ni lazima ujiamini kupita maelezo ukichukulia madaraka makubwa ya Raisi wa JMTZ!
Lowasa kweliii kweliii kweliii kweliii kweliii Lowasa . Lowasa kweliii kweliii kweliii Lowasa kweliii Lowasa to be a presi de