Jamani tuleteeni chozi la damu la EL na makuwadi wake.
JF rudisheni accessibility ya JF kwa guest? Kwa nini muda huu tu?, mbona siku zingine access ipo?
Jamani naomba Mwenyezi mungu usikilize maombi yangu Membe asiwe rais wa nchi hii wala waziri mkuu na nawashukuru saana waliomkata mzee wa kulialia Pinda teena kwa mwenyezi mungu teeena na teeena Kati ya hao watano Dr John Pombe Magufuri ndo awe mgombea wa urais kupitia CCM akabane koo na Padre Slaa,Mungu mkubwa atasikiliza maombi yangu, Amen,,Kasinge batata na bamawe
Membe naye katoswa 3 bora
Rais awamu ya Tano ni John P Magufuli
Bita waitu?