Sijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.
Hivi unafaham kuwa tarehe ya kuanza kampeni imesogezwa mbele tayari?Yetu macho, tarehe ya uchaguzi inaweza kusogezwa mbele kwa miezi mitatu zaidi tusipoangalia.
Mwaka huu Lazima tumuokote lowasa chini kabisa akiwa chali kwa kushindwa kuendelea na kampeni.
Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku?
Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho ataweza kuhutubia Bunge kwa masaa mawili hadi matatu? Ataweza kukagua paredi ya kijeshi? Mhhhh naanza kupata mashaka.
Jambo la msingi kuhutubia kwa muda mrefu? Ahutubie kwa muda mrefu ili iwe nini? Mtu anayejua cha kufanya huwa haongei sana ila wale wenye midomo kama chiriku ndio huongea sana lakini utendaji ni sifuri na kila siku utakuta wanazunguka ughaibuni kwa kutumia kodi zetu. Mkitaka mahubiri nendeni kanisani. Sisi tunataka raisi mtendaji sio msemaji!
swali muhimu sana, lakini badala yake utapata matusi
Hii issue ndo hasaa inayonikatisha tamaa nikiwaza kum support huyu mgombea. Anaumwa sana lakini wapambe hawasemi ukweli matokeo yake mtuache kwenye mataa. Enyi wanadamu muwe na hofu ya Mungu mseme tu ukweli wa moyoni ili jamii ijue.
Mipango ya maendeleo ya taifa ya miaka mitano itaelezwa kwa muda huo? Utendaji unahitaji muda pia! N ni dhahiri kwamba sio dakika ni miaka!Jambo la msingi kuhutubia kwa muda mrefu? Ahutubie kwa muda mrefu ili iwe nini? Mtu anayejua cha kufanya huwa haongei sana ila wale wenye midomo kama chiriku ndio huongea sana lakini utendaji ni sifuri na kila siku utakuta wanazunguka ughaibuni kwa kutumia kodi zetu. Mkitaka mahubiri nendeni kanisani. Sisi tunataka raisi mtendaji sio msemaji!