Hivi kuna mgonjwa anayeweza himili kuzunguka nchi nzima mpaka sasa? Mbona hao wazima tunawafungia maturubai kila siku Karimjee Hall.....
Je kwa mtu mwenye kifafa cha kuanguka anguka jukwaani anafaa kuwa Rais au hafai?
Hivi kuna mgonjwa anayeweza himili kuzunguka nchi nzima mpaka sasa? Mbona hao wazima tunawafungia maturubai kila siku Karimjee Hall.....
Hivi kuna mgonjwa anayeweza himili kuzunguka nchi nzima mpaka sasa? Mbona hao wazima tunawafungia maturubai kila siku Karimjee Hall.....
Achaa utahira, mbowe alikuwa anaongea na microphones zilikuwa hazitoi sauti. Sauti ilikuwa kavu kavu ya mbowe.
Na maiki alizishika kwa ajili gani sasa? Au alikuwa hajui kuwa zilikuwa ni mbovu hahahaaah!!!
Kukata mzizi wa habari tupieni hizo clips humu
Kwenye msafara wa mamba kenge nao wapoHeeeee, watafukuza wafanyakazi wote sasa?
acheni uongo wagonjwa kila sikutaki wanafariki apolo lakini bado mnabambikiza watu kuwa waginjwahali ni tete ndani ya kituo cha itv kufuatia kuvuja kwa video zinazomuonyesha mgombea wa chadema edward lowassa akiwa kwenye hali ya udhoofu.
Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa itv anasema, mmiliki wa kituo hicho reginald mengi baada ya kulalamikiwa na lowassa juu ya video hizo ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika kwenye utayarishaji wake wawajibike.
Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya lowassa ambayo yameanza kurushwa na itv, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo lowassa kutokana na hali yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana kushindwa kuongea na kukohoa sana.
Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera lowassa na kukosa imani na itv kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia kwa kupunguza habari za mikutano yake.
Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha lowassa na kuonyesha udhaifu wake ambao chadema wanajitahidi kuuficha.
Hali ni tete ndani ya kituo cha ITV kufuatia kuvuja kwa video zinazomuonyesha mgombea wa Chadema Edward Lowassa akiwa kwenye hali ya udhoofu.
Mtoa taarifa ambaye ni mtangazaji wa ITV anasema, mmiliki wa kituo hicho Reginald Mengi baada ya kulalamikiwa na Lowassa juu ya video hizo ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, alitaka wote waliohusika kwenye utayarishaji wake wawajibike.
Anasema uandaaji wa matangazo hayo ya Lowassa ambayo yameanza kurushwa na ITV, yalichukua muda mrefu kuyaandaa ambapo Lowassa kutokana na hali yake ilimlazimu kurudia kila mara na wakati mwingine alionekana kushindwa kuongea na kukohoa sana.
Video hizo ambazo alishindwa kuongea ndo zimesambazwa na kumkera Lowassa na kukosa imani na ITV kituo ambacho inaelezwa alianza kukilalamikia kwa kupunguza habari za mikutano yake.
Mtoa taarifa anasema tayari baadhi ya watendaji wamesimamishwa kazi kwa kitendo cha kusambaza video zinazomdhalilisha Lowassa na kuonyesha udhaifu wake ambao Chadema wanajitahidi kuuficha.
Yeye anagombea urais ndio sababu, cheo cha mwisho kabisa, kwa ugonjwa wake anaweza hata kuamuru makombora yavurumishwe ...
Wacheni kumkufuru Mungu kwa kumwita Lowassa mgonjwa kama nyiye ndiyo mliomuumba.
Jiulize swali moja tu la msingi ni kwa nini wagombea wengi wanaoonekana kuwa wako fit sana ndiyo wanapukutika na kumwacha Lowassa ambaye anadaiwa kuwa mgonjwa?
Hiyo inatuonyesha namna Mungu anavyotuonyesha utukufu wake mkuu.