Lowassa apumzike, Magufuli aendelee na kampeni

Lowassa apumzike, Magufuli aendelee na kampeni

Hii nchi ina miaka 50!!!hatukutakiwa kuwa na shida ya huduma za jamiii kama maji,umeme,barabara mbovu,
utasikia mtu ccm oyeeee huku nguo inavilaka,uwamuzi ni wetu sasa.
 
Kahama tunamsubiri tarehe 14/09/2015 tunataka asimame na kupunga mkono tu basi. Tushaamua tayari hata kama uchaguzi ufanyike kesho.
 
Inabidi apumzike kwa kweli kwa sababu hana cha kuzungumza mbele ya watu, na pia uchovu wa uzee na kuumwa pia ni factors muhimu kuzizingatia. Halafu atakuwa keshaupata ujumbe wa Magufuli kuwa ardhi iliyoibwa kutoka kwa walalahoi itarudishwa na hata ile isiyotumika itagawiwa kwa wazalendo wasio na ardhi, sasa kichwa kitakuwa kinamuuma na bp iko juu, maana maeneo aliyojimilikisha yeye na matajiri wezi kama yeye yanarudi kwa wamiliki halisi.
 
Waliojitokeza kwny mkutano wa chang'ombe dodom malory yalihusika,inashangaza kwny ngome ya ccm lori linaleta watu,nyie kaeni macho lowasa wiki ijayo atakuwa dom,mtaona mabadiliko yalivyofika mpaka dom,u mwaka watu wanataka sisiem idondoke hata kama mgombea wa ukawa ungekuwa msitu

inawezekana kuwa ni kweli watu wanayataka mabadiliko kama inavyo semwa, pale Tabora kuna bango nimeliona likisomeka hivi "KWA MAHABA NINILYO NAYO KWA LOWASA HATA AKISIMAMA AKAJITANGAZA MWENYEWE KUWA NI MWIZI BADO NTAMPA KURA YANGU" ina mahana kuwa watu hawazingatii tena tatizo la ufisadi? au ndo ccm iondoke tu bila kujali mbadala wake?
 
inawezekana kuwa ni kweli watu wanayataka mabadiliko kama inavyo semwa, pale Tabora kuna bango nimeliona likisomeka hivi "KWA MAHABA NINILYO NAYO KWA LOWASA HATA AKISIMAMA AKAJITANGAZA MWENYEWE KUWA NI MWIZI BADO NTAMPA KURA YANGU" ina mahana kuwa watu hawazingatii tena tatizo la ufisadi? au ndo ccm iondoke tu bila kujali mbadala wake?

Adui mkubwa wa nchi hii ni ccm
 
Inatia hasira sana.Lowassa akipanda anaonge dakika 15 na Mh.Pombe Magufuli anaongea weee. ana rudia wee.Mafisadi Jela Mafisadi Mwisho.Alafu bado Malofa ni Lowasa Lowasa. hii ni hatari na inatia hasira sana .Itabidi mkazo uongezwe kwa kutumia Jeshi Sasa

Na siku ya kupiga kura jeshi litawalazimisha wampigie Magufuli???
 
inawezekana kuwa ni kweli watu wanayataka mabadiliko kama inavyo semwa, pale Tabora kuna bango nimeliona likisomeka hivi "KWA MAHABA NINILYO NAYO KWA LOWASA HATA AKISIMAMA AKAJITANGAZA MWENYEWE KUWA NI MWIZI BADO NTAMPA KURA YANGU" ina mahana kuwa watu hawazingatii tena tatizo la ufisadi? au ndo ccm iondoke tu bila kujali mbadala wake?

wala,tunajaribu kuwajibu wana ccm ambao wanajaribu kutuvunja moyo juu ya kafsha za ufisadi za el!kumbuka hata ndani ya ccm mafisadi wapo!ila ccm kwa unafiki wanamsema el tu!sasa hili kuwaziba midomo ndio twasema..."ata lowasa akisema pesa za escrow,epa,meremeta,buzwagi et al,alikula yeye,better still tutamchagua yeye"
 
Mgombea mwenza wa Magufuli akanifurahisha sn kwa kuwaambia yy ni mwanamke ameshazaa na ndio pekee anayejua uchungu wa kuzaa, so anawaambia watzd kuwa wasisikilize hoja za viongozi wa upinzani kuwa wataboresha huduma za kiafya na hasa kwa wanawake cz hawajui uchungu wa kuzaa, ss swali langu, hao waliomtangulia waliokuwa wanasema wanaboresha huduma za mama na mtoto kwani wao waliingia lini labor kwa hiyo anawatukana waliomtangulia. Nikija kwa magufuli anasema atahakikisha wale wote wanao invest (hotels) na kubadilisha majina kila baada ya miaka mitano ili kukwepa kodi atawashughulikia, kwani miaka yote aliyokaa ccm hakuwa akijua kuwa hilo linafanyika chini ya serikali yake hofu yangu ni kuwa ataweza kubadili hilo. Mbaya kabisaa anachonishangaza na namuona kama ni msanii ni pale anaposema ataunda baraza la mawaziri ndogo, hiviiiii anaendaje kinyume na katiba mpya ya Tanzania ambayo imewekwa na ccm baada ya kukataa maoni ya wananchi kupitia tume ya katiba ya Jaji warioba. KIUFUPI WAGOMBEA WOTE WA CCM NAONA WANAWATUSI WALIOWATANGULIA KWANI YOTE WANAYOYAONGEA NA KUYASHANGAA KUWA HAYAJAFANYIKA NA WATAYABADILISHA NI KWAMBA AWALI WALIKUWA WANAYAONA KUWA NI HAKI YETU KUTENDEWA HIVYO.
 
Hawawezi tia miguu kwa huyu jamaa,wanajua kuwa hawana ushahidi na kumhusisha huyu jamaa jina la mkulu litawekwa hadharani,

Take my word
Na kubenea
aomba mdahalo na dr slaa awe na mwakyembe na sita yy peke yake ..leo yupo kyela akirudi kesho jatu anawataka
waende na ushahidi wao wote na yyanakwenda na ushahidi ulio kamili kabisa.anasema alitaka kubaki kimya slaa kafanya kosa kumtaja sasa ameamua kutaka kuonyesha hajui kitu
pia ana ushahidi kalipwa sh ngapi yy na ficm na mshumbu
kama hawataki anaitisha press conference

hizi ndizo habari zinazovuma kwa sasa jpili asubuhi mwenye maelezo tafadhali
 
Tushukuru MUNGU kwa kuwa Watanzania wanaelewa sasa;
 
Hii ni kwa sababu watu wameshasema Lowasa anatosha kuwa rais.

Kazi kwa magufuli kuendelea kupiga debe awaridhishe ccm japo mwaka huu mwanaharamu hapiti.

The vice versa is true
 
Lowasa kwanza si mtu wa kujibu hoja za c.c.m yeye ameonyesha ni muogoaji kidogo ila utekelaji wake utakuwa mkubwa... halafu tofauti na maghufuli ni kwamba. Elimu bule hadi chuo...huyu hadi form four to chuo
 
Back
Top Bottom