Lowassa apumzike, Magufuli aendelee na kampeni

Lowassa apumzike, Magufuli aendelee na kampeni

magufuli na lowasa wote wamefilisi nchi hii sichagui wote wawili matatizo

Ndugu nakubaliana na wewe ila nakupa shauri kwamba maisha lazima yaendelee. Tujiunge pamoja kubadili mkakati kupitia ukawa alafu kwa miaka 5 tuone. Kukata tamaa hata kwa mambo yako binafsi ni hasara na haishauriwi hata kwa vitabu vya dini. Vumilia kwa dk 1 zaidi labda ndo unapata jibu la hitaji lako. JIPE MOYO MKUU TWENDE TENA HATUA 1 na EL tutatathmini chini ya UKAWA. Brovoooo!
 
Back
Top Bottom