Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 255
Lowassa ni miongoni mwa viongozi wenye kauli zisizoaminika katika jamii. Kwa mfano mdogo tu hapa, huyu ndugu alijipangia mwenyewe na akatafuta kututangazia kwamba leo hii ANALO LA MOYONI KUHUSU UFISADI WA DOWANS na kwamba angetuambia Wa-Tanzania wenzake kama na yeye kesharejesha chenchi Benki Kuu sawa na Manji au laa; ona sasa amepitiliza karibia na dakika 60 nzima!!!
Bure kabisa, hamn kitu hapa!!
Huu ni uchochezi>Unamaanisha akitangaza kuachia ngazi zote CCM? Hajaongea mkuu, let's wait and see what's going to happen.
Mwandishi wetu yupo tayari, muda ndo huu.
Ziko mfukoni mwake mkimkamua atazitoa tu.anasema fedha zipo, ziko wapi sasa mbona hatuzioni, wadogo zetu chungu mzima wamekosa mikopo kwa ajili ya elimu na ndio vijana haohao anaoongelea!
Na hivyo viwanda serikari liliyoshindwa kujiendesha itaweza kuendesha viwanda pia!?
TZ tumeishiwa! Another either person/leader/party/institution should rise to rescue this country and tell us the truth
kweli kaka jipya hamna, anataka kutujuza tu kwamba yupo fiti kwa 2015 come rain come sun-shine.sioni jipya, anataka kujionyesha tu kuwa hali yake ya afya imetengamaa, hana lolote fisadi tu huyu.
Kuchangia siyo lazima uambiwe binamu.Natoa TAMKO:Ni uzembe mpaka leo JF haina live audio flaws. kitu gani kigumu.. tuambie tuchangie.. habari hii tungeipata live humu jamvini.. Mods ongezeni kufikiri bwana!!
naona aliwaita kujibu mapigo kwa jinsi mnavyomuandama, hili tusi.
- Wakuu... Kamaliza! Ila kamalizia na "I think this is enough for your stomach" sasa sijaelewa anamaanisha alichoongea au ......?