Wakuu Wakereketwa naomba niwafahamishe kwa wale ambao hawawafahamu members wa Mtandao Safisha Lowassa (MSALO) na Operesheni Safisha Lowassa (OPL).
MSALO ambayo ndiyo Sekretarieti Kuu imeunda Operesheni Safisha Lowassa (OPL) ambayo tayari imeanza kazi yake kwa viwango vilevile vya 'ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya'.
Makao makuu.
MSALO makao makuu ni Dar es Salaam ila Ofisi kuu ipo Dodoma ambayo ina deal na all operations.
Wahusika Wakuu.
1.Jenista Mhagama
2.Catherine Peter Noni.
3.Yusuph Makamba.
4.Andrew Chenge.
5.John Komba.
6.Rostam Azizi ( Head of Finance).
7.John Guninita
8.Peter Serukamba.
9.John Barongo.
10.Nazir Karamagi.
11.Lawrence Masha.
12.Dk.Deodorus kamala.
13.Dk. Emmanuel Nchimbi.
14.Adam Malima.
15.Janet Masaburi.
16.Nawabu Mulla.
17.Adam Kimbisa.
18.Chrissant Mzindakaya.
19.Tomy Mwang'onda
20.Dk.Ibrahim Msabaha.
21.KIngunge Ngombale Mwiru.
Walengwa Wakuu.12.
1.Spika Samuel Sitta.
2.Anne Kilango Malecela.
3.Anne Makinda.(naibu Spika)
4.Dk.Harrison mwakyembe.
5.Lucas Selilii.
6.Christopher Ole Sendeka.
7.Prof.Mark Mwandosya.
8.Bernard Membe.
9.Samwel Malecela.
Founder and CEO.
1.Edward Lowassa.
Co-Founder and Financier.
1.Rostam Azizi.
Mbona Samweli Chitalilo hayumo kwenye huo MSALO?
Karibu John Nchimbi,hii habari si yakweli hakuna mtu anaweza kujenga likamati kubwa namna hii kwa ajili ya kitu sensitive kama hicho.unless uniambie kuwa hawako makini vya kutosha.alafu hivyo vikao vinafanyika wapi na lini?NI HOFU ZA WALIOTENDA MABAYA wakidhani kuna mtu anataka kuwalipizia.
Tatizo la wabongo, usha conclude ni UDAKU huku hapo hapo unataka EVIDENCE...
Sasa Evidence ya udaku unaitakia nini?
Kwa kweli wabongo hatufikirii straight, tuna matatizo kwenye ku analyse mambo!
hii habari si yakweli hakuna mtu anaweza kujenga likamati kubwa namna hii kwa ajili ya kitu sensitive kama hicho.unless uniambie kuwa hawako makini vya kutosha.alafu hivyo vikao vinafanyika wapi na lini?NI HOFU ZA WALIOTENDA MABAYA wakidhani kuna mtu anataka kuwalipizia.
hii habari si yakweli hakuna mtu anaweza kujenga likamati kubwa namna hii kwa ajili ya kitu sensitive kama hicho.unless uniambie kuwa hawako makini vya kutosha.alafu hivyo vikao vinafanyika wapi na lini?NI HOFU ZA WALIOTENDA MABAYA wakidhani kuna mtu anataka kuwalipizia.
nikipata supporting facts nitaikubali habari, nikikosa naiita UDAKU. Kwenye matatizo ya kuanalyse sipo mimi huko, wewe ndio unayo na hao wenzako uliowaongela hapo!
wakuu Wakereketwa Naomba Niwafahamishe Kwa Wale Ambao Hawawafahamu Members Wa Mtandao Safisha Lowassa (msalo) Na Operesheni Safisha Lowassa (opl).
Msalo Ambayo Ndiyo Sekretarieti Kuu Imeunda Operesheni Safisha Lowassa (opl) Ambayo Tayari Imeanza Kazi Yake Kwa Viwango Vilevile Vya 'ari Mpya, Nguvu Mpya Na Kasi Mpya'.
makao Makuu.
Msalo Makao Makuu Ni Dar Es Salaam Ila Ofisi Kuu Ipo Dodoma Ambayo Ina Deal Na All Operations.
wahusika Wakuu.
1.jenista Mhagama
2.catherine Peter Noni.
3.yusuph Makamba.
4.andrew Chenge.
5.john Komba.
6.rostam Azizi ( Head Of Finance).
7.john Guninita
8.peter Serukamba.
9.john Barongo.
10.nazir Karamagi.
11.lawrence Masha.
12.dk.deodorus Kamala.
13.dk. Emmanuel Nchimbi.
14.adam Malima.
15.janet Masaburi.
16.nawabu Mulla.
17.adam Kimbisa.
18.chrissant Mzindakaya.
19.tomy Mwang'onda
20.dk.ibrahim Msabaha.
21.kingunge Ngombale Mwiru.
walengwa Wakuu.12.
1.spika Samuel Sitta.
2.anne Kilango Malecela.
3.anne Makinda.(naibu Spika)
4.dk.harrison Mwakyembe.
5.lucas Selilii.
6.christopher Ole Sendeka.
7.prof.mark Mwandosya.
8.bernard Membe.
9.samwel Malecela.
founder And Ceo.
1.edward Lowassa.
co-founder And Financier.
1.rostam Azizi.
UNATAKA SUPPORING DOCUMENT KUWA HAO HAPO JUU NI WANAMTANDAO?
Ama jina la ROSTAMA anayetuma watu kupalilia UKABILA..linaudhi watu na sasa wameshamkaribisha kanisani!?
Nataka suppprting facts, iwe documents sitajali. Habari ya ukabila na za huko kanisani unaziingiza wewe, mie nataka supporting kuwa hawa ndio members wa mtandao wa safisha lowassa. Kwa nini Chenge aiweke mtandao wa kujisafisha, au Karamagi au Msabaha. Kwa nini wamsafishe Lowassa tu. Kwani hao wengine hawajachafuka na kuhitaji kujisafisha wenyewe. Kwa nini huo mtandao sio wa kuwasafisha mafisadi wote na ukawa wa kumsafisha Lowassa pekee. I insist this is UDAKU unless stated otherwise.
Kwani wewe hujuwi kuwa Lowassa ndiyo chaguo kipya la wanamtandao baada ya Kikwete?
Umeshasahau ndoto za dada TINA?
Na si wanamtandao hao hao wanaosaidiwa na baadhi yenu japa jf kwenye issue ya UKABILA?
Mbona hukudai dataz kuonyesha kama kweli kuna upendeleo kwa wachagga na wakati hapo juu sioni jina la mchagga kati ya hao wanamtandao walioiuza nchi?
Sana sana kuna kila kabila na kila dini ambapo kuna mafisadi!
Na mimi nashangazwa na kushangazwa kwako kuwa unashangaa kama inawezekana kwa wanamtandao kusafishana!
Ama una maana kuwa wanamtandao wanampinga Lowassa?
Baadhi yetu!!!!??? KOMA kabisa kuniwekaweka na kunijumuisha kwenye makundi popote unapojisikia, okay??
We mtoto, dataz za wachagaa, huwezi na usithubutu kucontrol akili yangu na wishes zangu remotely, KOMA KABISA. Wewe endelea kushangaa hadi baadae!
Sijapata kujua kama Lowasa anataka kuja kuwa rais wa tanzania,hii ndio naisikia kwako kwa mara ya kwanza....siwezi kukupinga kwa kuwa sijui ulioteshwa na nani jambo hili.hakuna Mwanasiasa makini anaweza kutengeneza kundi kubwa nanma hio eti limsafishe...kwakweli pamoja na ukilaza wangu nisingemshauri kufanya hivyo.nakumbuka ata wakati wa kinyang'anyiro cha nafasi ya urais ndani ya ccm hakuna mgombea ata mmoja aliepata kuwa na kamati kuu ya kampeni yenye watu zaidi ya wa 5.hii inatumika kama mbinu ya kuzuia taarifa kuvuja nje.unachagua watu 5 makini na unaowaamini.sasa hilo likamati la watu karibu sabini ambapokila kukicha wanaongezeka wapya.du haya ngoja tuoni kama ni kweli.Mwisho mimi sijasoma seminari,yawezekana humjui vema huyo unaemdhania kuwa unamjua.karibu jamvini yahee nchimbi, hapa hakifajiliwi chama bali taifa, hafagiliwi mtu bali hoja, hakifagiliwi jimbo , bali utaifa, hakifagiliwi cheo bali dhamana. nakukumbuka sana tangu tunasoma wote pale uru seminary, bahati mbaya wote tukaukimbia ukasisi. mwenzetu slaa aliingia huko lakini sasa anafagilia utaifa.
jamb moja nakushauri, acha kudanganywa na ndoto za kumsafisha lowasa kwa kudhani kuwa atajakuwa rais na wewe uwe waziri mkuu, acha alinacha ndugu yangu.
huko jeshini alikokupeleka jk kuwa naibu waziri si haba, manake mmeanza kusingizia kila kitu jeshi, hata meremeta jeshi! na jinsi upepo unayokwenda na ninacyokufahamu , huenda wewe ndo nahodha wa hili jambo.
mwaka 2010 utakuwa mgumu kwako. ni vema ukajisajili tena pale mzumbe ikiwezekana ukaombe nafasi ya kufundisha. sasa siijui vizuri phd yako! manake kama kigezo ni o-level wewe ni kilaza