He added that TVT planned to run a programme on Mr Lowassa�s two-year tenure as Prime Minister. Mr Mhando could not, however, explain why the TV station had decided to air the programme detailing the former prime minister�s successes in the post he held from December 2005.
Ama kweli waandishi wetu wamefika pabaya na ndiyo hao hao walianza kwa kutuandikia kuwa Lowassa ni nabii na Sokoine anayekuja kuikomboa Tanzania na watu wake. Hivi kweli hata nafsi za haziwasuti kweli? Wenye akili na ufahamu mkubwa tunatambua kuwa hao ndiyo miongoni mwa waandishi ambao wamejengewa nyumba na kununuliwa magari, na zaidi sana hata kuahidiwa au kusomeshwa kabisa wao, wake zao na watoto. Ndio hao hao ambao Lowassa aliagiza kuwekewa umeme kwa siku moja na kafanikiwa.
Kama waandishi nao wanakuwa namna hiyo iweje kwa watu wengine, nani atawaetea wana wa nci hii tajiri lakini yenye watu masikini wa kutupwa kwa kuwa tu kna Lowassa na wengine wa aina yake wanatuibia na kukomba kila kilicho chetu kwa faida ya matumbo yao, wake zao, wachumba zao, mashangingi yao na shemeji zao. Twafile nyambara
On Saturday, Mr Lowassa received a red-carpet reception in his Monduli constituency in Arusha Region before addressing a well-attended public rally
Someone had written him a letter telling him SILENCE CAN NEVER BE MISQUOTED BUT ONLY MISINTERPRETED... EL you better read this letter again...
Jamani, watu walio kwenda kumpokea ni maswahiba wake wa karibu katika shughuli zake za ufisadi,kama machimbo ya mererani na wandugu zetu wa Kiasia walitoa magari kusindikiza na sio wapiga kura. Hebu tafakarini,wana JF wapiga kura wa Tz ni maskini wakulima wajima, msafara ulikuwa na Mashangingi na magari ya kifahari zaidi ya mia. Sasa kwanini tusione kwamba walio mpokea ni wale wale mafisadi waliokuwa wana neemeka nae wakati aki nyonya damu kidogo iliyo baki kwa wana wa NCHI HII. Kwa mtu mwenye BUSARA NA HEKIMA hatakuwa tayari kwanjia yoyote ile kumshabikia huyu Bwana mkubwa, kwani naamni hata kama alifaidika na EL kuwa Pm lakini bado ni Wtz walivikwa vitanzi na kulazimishwa kunywa uji wa malilmao kwa faida ya wachache wenye TAMAA ya mali. SHAME TO EVERYBOBY alie MTZ halisi anae mshabikia EL. Nasema huyo ni pungwani.
La Kuvunda Halina Ubani.
Namshauri Ajiunge Na Wazee Wa Kimasai Awe Mfugaji Bora.
Pia Awape Ushauri Na Utumishi mahiri Na Makini wa Kuboresha Mifugo Yao.
Then what was the role of Hoseah and TAKUKURU when they ran their investigation, didn't they compare notes with their cousins at TISS?
If the whole RDC is now known to be bogus, where was TISS on this? aren't they supposed to do a due dilligence and background investigation on behalf of Serikali? or RDC is another Kagoda since the money to finance the whole programme was from WB/IMF and not GVTZ?
I hope ITV wakishamalizana na EL watamwalika na waziri mkuu mstaafu Joseph Sinde Warioba ili atuwakilishe kutoa comments!