Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

Hao kwenye picha ni ccm, au act. Namwona mwarabu mwenye sharafa sijui naye kaingia lini kwenye siasa!

Ukishaona damu za akina rostam inashabikia siasa ujue iko hatari kubwa mbeleni!
 
Mkuu Haki Sawa, umefanya jambo la maana sana, na ili zisambae kote kwa kasi, mimi na kampuni yangu tumejitolea kufanya distribution bure, hivyo shehena ikifika tuu, ilete shehena yote pale ofisini kwangu, nitakusaidia kuzisambaza kwa kasi ya ajabu. Mimi nafanyia kazi pale kwenye ile incinerator ya Muhimbili, utaniletea siku ninaingia zamu ya usiku, nitakusambazia faster sana!. Pasco

Kusoma tu heading nikasema Mkuu Pasco hapa lazima watakuwa wamemkuna palipo.
Mkuu nadhani badala ya kuhaingaika kumwaga T-Shirt na u-friends kuna mambo ya msingi ya kufanya kumsafisha Mhe.wenu na tuhuma kedekede siwe kweli au lah!

Na hivyo matumizi yoyote ya Pesa Kiasi hiki si dalili njema hata kidogo-muulize Mr.Jumanne ?

Last edited by a moderator:
Mkuu Haki Sawa, umefanya jambo la maana sana, na ili zisambae kote kwa kasi, mimi na kampuni yangu tumejitolea kufanya distribution bure, hivyo shehena ikifika tuu, ilete shehena yote pale ofisini kwangu, nitakusaidia kuzisambaza kwa kasi ya ajabu. Mimi nafanyia kazi pale kwenye ile incinerator ya Muhimbili, utaniletea siku ninaingia zamu ya usiku, nitakusambazia faster sana!. Pasco

Bila shaka kwenye incinerator unaenda kuzifanyia ''bolding'' mhhhh
 
..Mapesa anayomwagamwaha kayapata wapi.....atayarudishaje...ikulu kuna biashara gani...?

Kuna taarifa kuwa Makaburu kupitia Vodacom SA ni mmoja wa wafadhili wake kupitia RA(ahadi milioni 20 za Kimarekani)
Je kwa masilahi gani hayo/malipo ya aina gani atakapo kuwa Magogoni?.

Kuna mengi ya kujiuliza dhidi ya harakati hizi za kwenda Magogoni kwa nguvu ya pesa Kiasi hii ?
 
Hao kwenye picha ni ccm, au act. Namwona mwarabu mwenye sharafa sijui naye kaingia lini kwenye siasa!

Huyo ni mfuasi wa mjumbe wa NEC CCM Vedastus Mathayo yeye kazi yake ni kugawa hela kwa baadhi ya bodaboda ili wamsindikize mathayo kwenye mikutano,na pia ndiye aliyeshiriki pamoja na timu ya Mathayo CCM kusambaza bendera za ACT na kufanya matangazo ya mkutano ambao waliambulia kuzomewa pale uwanja wa mkendo musoma mjini.
 
Huyu Mzee ana uchu kwenda Ikulu haijawahi kutokea katka historia ya Tanganyika. Watanganyika tujiulize kwanini anatumia pesa nyingi kwenda Ikulu? Hatufai kabisa.
 
Bila shaka kwenye incinerator unaenda kuzifanyia ''bolding'' mhhhh
siku ninaingia zamu ya usiku, yaani night shift tunakuwa hatuko busy sana hivyo nitakusaidia kuzisambaza kwa kasi kubwa, yaani nitafanya distribution usiku kucha, kufika asubuhi zitakuwa zimemalizika zote !.
Pasco
 
Huyu Mzee ana uchu kwenda Ikulu haijawahi kutokea katka historia ya Tanganyika. Watanganyika tujiulize kwanini anatumia pesa nyingi kwenda Ikulu? Hatufai kabisa.
Akisaini mikataba miwili tu, pesa yake yote imerudi. Kwanini asitumie pesa nyingi kuingia huko?
 
Lowasa amwaga t shirt Musoma mjini zenye picha yake pamoja maneno kwa nyuma (friends of lowasa).marafiki wa lowasa pia mpango ulioko Wamejiandaa kwenda kumpokea Akitoka ujerumani na Mabango ya kuhamia act yaandaliwa tayari.

Hizo picha sio halisi kwa yeyote anae weza kutazama na ktambua picha.
 
Kweli njaa mbaya! Hadi mafisadi wanalambwa miguu ili waingie ikulu! KUMBUKENI JAPO KAULI ZA MWALIMU ENYI KIZAZI CHA WALA RUSHWA!
 
mmmmh hii haiwez kutawaliwa na lowasa kama misaada yake aliyokuwa akitoa mavyuon kwa lengo lakusaidia kumbe alikuwa na lengo hili hapo amejira hatumpi kura kwa huku mxoma
 
Lowassa anasema hata kuuwa yupo tayari mwaka huu mpaka aingie ikulu.
 
Lowassa ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom