Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

Lowasa amwaga t shirt Musoma mjini zenye picha yake pamoja maneno kwa nyuma (friends of lowasa).marafiki wa lowasa pia mpango ulioko Wamejiandaa kwenda kumpokea Akitoka ujerumani na Mabango ya kuhamia act yaandaliwa tayari.
Huu ni uhuni kwani Tshirt ndio kura?aende zake huko ACT,ccm ni ngumu kumpendekeza huyo fisadi
 
Lowassa tumaini la watz wengi,nchi ilipo inahitaji mtu jasir,shupavu na mwenye maamuzi magumu watz tumeona lowassa anatoshaa
 
Lowasa amwaga t shirt Musoma mjini zenye picha yake pamoja maneno kwa nyuma (friends of lowasa).marafiki wa lowasa pia mpango ulioko Wamejiandaa kwenda kumpokea Akitoka ujerumani na Mabango ya kuhamia act yaandaliwa tayari.
Ni nawahurumia watanzania walogeuka bidhaa za Hali ya chini. Maskini watanzania hawajielewi kutokana na umaskini wao wako tayari kufanya lolote bora liende
 
Unayesema lowasa tumaini la wtz, mbona ameshindwa kuwa tumaini la jamii yake wanazagaa mjini kwa kuuza dawa na ugolo
 
Yaani CCM wasifanye uzwazwa kabisa. Walipige Mark time Lizee hili(Li'mamvi).
Kha!
 
Unayesema lowasa tumaini la wtz, mbona ameshindwa kuwa tumaini la jamii yake wanazagaa mjini kwa kuuza dawa na ugolo

Hatari hii!Yaani Watanzania mnalia mmechoka na mafisadi leo mnashikia bango mtu ambaye ulijiuzulu kwa kashfa hiyo?? Watu wanajitia upofu kana kwamba hawajui huyu mtu aliyojitajirisha kwa ajili ya madaraka??Aisee sijui tunaelekea wapi!! Maana hata viongozi wa dini wameshikilia mabango!!!!,Ninyi kama hamumjui EL endeleeni na ushabiki wenu.Hata wapinzani mnaonshabikia jueni moja kua akiingia madarakani hamtaongea kitu, yaani mtafutika kwenye ramani ya nchi hii, Mnasema polisi saivi wanatumika vibaya???Mpeni nchi EL ili polisi watumike vizuri, Hakika tutakuja kumkumbuka KIKWETE mara mia.Eti maamuzi magumu??? Maamuzi magumu!!!!
 
Kwa mihela anayotumia akikosa yuko tayari kutibua amani yote
 
Watu wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mikono Aibu yenu hiyo !!! 😆😆😆😆 Lowassa hagawi tishert mnajuwa ila mnajiashua
 
Friends of Simba wanazo sijaona TFF na Mamlaka zingine wakizuia .kuna Friends of mbeya city ! Je wanatabiri matokeo ? Huo uoga tu
 
Lowasa amwaga t shirt Musoma mjini zenye picha yake pamoja maneno kwa nyuma (friends of lowasa).marafiki wa lowasa pia mpango ulioko Wamejiandaa kwenda kumpokea Akitoka ujerumani na Mabango ya kuhamia act yaandaliwa tayari.
una IQ ya mende sijui...full Giza na upuuzi
 
Siku zote ukisikia mtu anakuambia Lowasa fisadi kwanza usipanic muangalie kwanza hata jinsi yalivyo kaa kaa, alivyo vaa yani utabaini tu kwamba ni hajui chochote hata ukimuambia Richmond ninini hajui uliniuliza neno ufisadi linamaana gani hasa hajui mtu mwenye kusoma na kutafuta taarifa lazima awe anajua kwamba Lowasa ni mtu safi Richmond ni zengwe tu na lazima ajue iliyokuwa mitambo ya Richmond ndio symbion sasahivi,msiumize vichwa kwa mabogas hao watanzania wanamhitaji Edward Lowasa.
 
Back
Top Bottom