Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

Marwa Chacha

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
102
Reaction score
51
Lowasa amwaga t shirt Musoma mjini zenye picha yake pamoja maneno kwa nyuma (friends of lowasa).marafiki wa lowasa pia mpango ulioko Wamejiandaa kwenda kumpokea Akitoka ujerumani na Mabango ya kuhamia act yaandaliwa tayari.
 

Attachments

  • 1429798848419.jpg
    1429798848419.jpg
    64 KB · Views: 5,665
Friends of lowasaa
 

Attachments

  • 1429799011701.jpg
    1429799011701.jpg
    90.4 KB · Views: 5,287
Huyu jamaa sio wa kumdharau hata kidogo!

Yupo too strategical, though we perceive him as a big looser!

Ngoja nitunze akiba ya maneno (maana huu ndo msamiati mpya hivi karibuni!)
 
Hongereni friends of Lowasa ni nzur imetulia sana hyo. Kwhyo friends of Membe, frnds of Mwandosya, frnds of Mwigulu mnaruhusiwa pia kutengeneza matshirt yenu na kugawa muanzie ubungo. Sbb km ingekua ni haramu chama kingetoa tamko lakn sijui ndo kuogopana ama vp. Soon friends of Membe tshrt wil be available book yours!!
 
..Mapesa anayomwagamwaha kayapata wapi.....atayarudishaje...ikulu kuna biashara gani...?
 
Jamaa anatafuta madaraka kwa nguvu...

Hivi si ndio watoa kafara watu kama hawa...
 
Mwenyewe keshasema "hawezi (soma 'hamuwezi') kuzuia mafuriko kwa mikono".
 
Lowasa hana muonekano wa kuwa amiri jeshi mkuu labda akawe security guard
 
Huyu jamaa sio wa kumdharau hata kidogo!

Yupo too strategical, though we perceive him as a big looser!

Ngoja nitunze akiba ya maneno (maana huu ndo msamiati mpya hivi karibuni!)
Oktoba si mbali, tuvute subira itafika.
 
Mimi nimechapisha t.shirt za enemies of Lowasa , ni suala la muda tu zitakuwa hadharani ....
Mkuu Haki Sawa, umefanya jambo la maana sana, na ili zisambae kote kwa kasi, mimi na kampuni yangu tumejitolea kufanya distribution bure, hivyo shehena ikifika tuu, ilete shehena yote pale ofisini kwangu, nitakusaidia kuzisambaza kwa kasi ya ajabu. Mimi nafanyia kazi pale kwenye ile incinerator ya Muhimbili, utaniletea siku ninaingia zamu ya usiku, nitakusambazia faster sana!. Pasco
 
Back
Top Bottom