MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,259
Mbona Viongozi wengi wa Chadema wakiwemo Lema na Mbowe wamealikwa? Lowassa ni mtu wa watu!
Kwani kuna ubaya gani kualikana? Mbona mimi nimemualika jirani yangu hamsemi?
"EL will not be the fifth president of Tanzania"
Mkuu Matola, nikiwaambia watu humu huwa hawaamini, sijawahi kualikwa kwenye hilo tambiko hata mara moja, wala sijawahi kuhudhuria press conference yake yoyote!. Mimi ni mpiga debe wa kujitolea tuu, siko kabisa kwenye Team-ELPasco tualikane ndugu yangu, na mimi nina hamu ya kutafuna nyama.
kaka kwani ww ni lowassa? hahaha...Kwani kuna ubaya gani kualikana? Mbona mimi nimemualika jirani yangu hamsemi?
Kwani kuna ubaya gani kualikana? Mbona mimi nimemualika jirani yangu hamsemi?
Mkuu Matola, nikiwaambia watu humu huwa hawaamini, sijawahi kualikwa kwenye hilo tambiko hata mara moja, wala sijawahi kuhudhuria press conference yake yoyote!. Mimi ni mpiga debe wa kujitolea tuu, siko kabisa kwenye Team-EL
Ila huyu jamaa, namkubali sana, kikwazo pekee kwake kwa 2015 ni afya yake, ndio maana siku hizi namwita yeye ni Yohana Mbatizaji, ile "fall back position" yake inapewa u-full minister, 2015 twende kazi inaanza!.
Pasco
Hapo mwisho hapo...Ahahhahaha Pasco leo umehamia Kwa JM.....kweli wewe Jembe..ila chaguo letu si bado ni yeye? Afya yake itaimarika usiwe na ofu kabisa maana akipata trip 3 za ulaya na marekani then akaachana na kupanga foleni za mjini na kupanda ndege za precisionair zingine zinapiga pancha njiani, Afya itaimarika faster, Usikimbie bado tuko na ww, mimi nimepewa usaidizi wa Kaka Salva
Mbona Viongozi wengi wa Chadema wakiwemo Lema na Mbowe wamealikwa? Lowassa ni mtu wa watu!
Kuna tetesi kuwa waziri mkuu aliyejiuzulu amemualika waziri mkuu wa sasa mzee Pinda nyumbani kwake monduli kwenye tafrija probably ya kuaga mwaka.
Swali rahisi...je Lowassa anataka kujenga picha gani kwa kumualika na kusherehekea na Pinda?
Au tuseme Pinda anataka kujenga picha gani kwa kukubali kushereheka na Ndugu Lowassa?
Au ...wadau tunajifunza nini kuona mawaziri hawa wakishereheka pamoja ?
Cc Pasco
Hapo mwisho hapo...
Kwani kuna ubaya gani kualikana? Mbona mimi nimemualika jirani yangu hamsemi?
Kwani kuna ubaya gani kualikana? Mbona mimi nimemualika jirani yangu hamsemi?