Lowassa amualika Pinda Monduli

Mbona Viongozi wengi wa Chadema wakiwemo Lema na Mbowe wamealikwa? Lowassa ni mtu wa watu!
 
tatizo binadamu kushirikiana wakiwa hai wanaona hatari,lowasa anatoa sadaka yake ya furaha,jamani kushirikiana si mpaka misiba
 
Pasco tualikane ndugu yangu, na mimi nina hamu ya kutafuna nyama.
Mkuu Matola, nikiwaambia watu humu huwa hawaamini, sijawahi kualikwa kwenye hilo tambiko hata mara moja, wala sijawahi kuhudhuria press conference yake yoyote!. Mimi ni mpiga debe wa kujitolea tuu, siko kabisa kwenye Team-EL
Ila huyu jamaa, namkubali sana, kikwazo pekee kwake kwa 2015 ni afya yake, ndio maana siku hizi namwita yeye ni Yohana Mbatizaji, ile "fall back position" yake inapewa u-full minister, 2015 twende kazi inaanza!.
Pasco
 
Watu sijui wana wivu, mbona mimi mwenyewe kanialika? tunaenda punguzana mifadhaiko(stress) ya/za mwaka mzima tu wala hakuna jingine lenye lengo baya/chafu.
 
Lowasa Rais mtarajiwa na si vinginevo,mta
oiga makelele saaana 'mara rais hatoki kaskazini,mara rais lazima awe sijui dini gani,tunahitaji rais mwenye historia pevu ya Taifa hili na si vinginevo,hatujadili udini wala ukanda tunahitaji kiongozi mwenye kutenda na si muingeaji hapa,hatuitaji watu kama akina vuvuzela akina Nape nk baki who to Act thats all.
 
Mkuu Matola, nikiwaambia watu humu huwa hawaamini, sijawahi kualikwa kwenye hilo tambiko hata mara moja, wala sijawahi kuhudhuria press conference yake yoyote!. Mimi ni mpiga debe wa kujitolea tuu, siko kabisa kwenye Team-EL
Ila huyu jamaa, namkubali sana, kikwazo pekee kwake kwa 2015 ni afya yake, ndio maana siku hizi namwita yeye ni Yohana Mbatizaji, ile "fall back position" yake inapewa u-full minister, 2015 twende kazi inaanza!.
Pasco

Ahahhahaha Pasco leo umehamia Kwa JM.....kweli wewe Jembe..ila chaguo letu si bado ni yeye? Afya yake itaimarika usiwe na ofu kabisa maana akipata trip 3 za ulaya na marekani then akaachana na kupanga foleni za mjini na kupanda ndege za precisionair zingine zinapiga pancha njiani, Afya itaimarika faster, Usikimbie bado tuko na ww, mimi nimepewa usaidizi wa Kaka Salva
 
Hapo mwisho hapo...
 
Nasikiaa hii party itakuwa kubwa sana hata mimi nimealikwa ni ya kufunga mwaka na kufanya tathimini kuona tulikofikia,mpaka ss upepo unakwenda vizuri kwa upande wetu na hii ya mawaziri kuvuliwa uongozi imefanya hii party iwe kubwa zaidi,wataalamu wananiambia ulikuwa ni mpango eti,je ni kweli?kipindi hiki kinana amenyamaza kimya chezea EL,nakumbuka mwaka jana kinana alituma barua pepe nchi nzima kuzuia wajumbe wasihuthurie hii ya mwaka huu imemshinda.
 
Bravo EL, ni vizuri kualikana, tena asifanye kosa akapuuzia mwaliko ni muhimu sana afike anaweza kujifunza mengi endapo mambo yataenda kombo ukizingatia hivi sasa anakabiliwa na shinikizo la kuachia ngazi,
 
Kuna tetesi kuwa waziri mkuu aliyejiuzulu amemualika waziri mkuu wa sasa mzee Pinda nyumbani kwake monduli kwenye tafrija probably ya kuaga mwaka.
Swali rahisi...je Lowassa anataka kujenga picha gani kwa kumualika na kusherehekea na Pinda?
Au tuseme Pinda anataka kujenga picha gani kwa kukubali kushereheka na Ndugu Lowassa?
Au ...wadau tunajifunza nini kuona mawaziri hawa wakishereheka pamoja ?
Cc Pasco

Acha nimwite Friderick Sumaye aje atusaidie kutohoa hili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom