Lowassa amualika Pinda Monduli

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,930
2,000
Kuna tetesi kuwa waziri mkuu aliyejiuzulu amemualika waziri mkuu wa sasa mzee Pinda nyumbani kwake monduli kwenye tafrija probably ya kuaga mwaka.
Swali rahisi...je Lowassa anataka kujenga picha gani kwa kumualika na kusherehekea na Pinda?
Au tuseme Pinda anataka kujenga picha gani kwa kukubali kushereheka na Ndugu Lowassa?
Au ...wadau tunajifunza nini kuona mawaziri hawa wakishereheka pamoja ?
Cc Pasco
 
Last edited by a moderator:

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,042
2,000
Anajaribu kutafuta support kutoka kwa kila kingunge ndani ya Serikali ya sasa na zilizopita katika jitihada zake za kujisafishia njia kuelekea 2015.
 

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,160
1,250
Nini shida kama ni suala la kijamii???!!!!
Una uhakika familia zao sio marafiki???!!!!

Pamoja na.yote mjue watu hawajakutana barabarani!!!!
 

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
3,142
2,000
Anamaanisha yaliomkuta hadi akajiuzulu ndio haya yanayomkabili Pinda kwamba wote ni wachapa kazi na si vinginevyo...right timing EL if it is true that you have sent an invitation
 

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,930
2,000
Nini shida kama ni suala la kijamii???!!!!
Una uhakika familia zao sio marafiki???!!!!

Pamoja na.yote mjue watu hawajakutana barabarani!!!!

Hakuna shida!wala hatutafuti au kufikiria shida.... just politics!
 

ilboru1995

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,329
0
Hili nalo linastahili kujadiliwa? mwaka jana Monduli kulijaa...Hii kwa EL haikuanza jana, Mara zote hushirikiana na jamaa zake kwa kumuomba Allah kwa kuwajaalia kumaliza mwaka salama na kumuomba mwaka wenye mafanikio zaidi... Membe, Sitta wanaruhusiwa kualikana pia! Hofu ya nini?... This Time JK nae amealikwa Monduli kula Nyama!
 

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
13,115
2,000
Pinda naye anatarajia kujiuzulu kutokana na kushindwa kazi hasa kuamuru vyombo vya dola kupiga raia na matokeo yake yamejidhihirisha wazi kutokana na operation tokemeza ujangili. Wote ni mawaziri wakuu waliojiuzulu kwa kashfa
 

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,808
2,000
Kwani kuna ubaya gani kualikana? Mbona mimi nimemualika jirani yangu hamsemi?

Tuseme nini sasa waakati mtakachojadili ni Namna ya kuendeleza Dhambi ya Kula rambi rambi.
Unataka tuwe sehemu ya hii Dhambi ?? , No, there is no way out...
Happy New Year 2014
 

hoyce

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,119
1,195
Anataka kuhalalisha party yake ya kifisafi. wamealikwa wajumbe wa vikao muhimu vya CCM, na wengine wa Serikali. wametumiwa tiketi za ndege, wamebookiwa hotel arusha, wametumiwa kadi za krismas zenye kiambatanisho, nk. ameona aingie pia PM ili ionekane halali.
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,196
2,000
Pasco tualikane ndugu yangu, na mimi nina hamu ya kutafuna nyama.
 
Last edited by a moderator:

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
11,013
2,000
Kila mwisho wa mwa lowassa huwa na sherehe na hualika viongozi na marafiki mbalimbali... Sioni tatizo
 

damcon

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
214
195
Mbona hata slaa kaalikwa ila kama bado anameno yote kuja kula nyama na mvinyo,ukialikwa jua anakupenda,lowasa and january ni watu wa watu...baada ya rasimu ya pili kusomwa nitawaeleza kifuatacho
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom