Lowassa amualika Pinda Monduli

Unajua lowasa anahangaika na urais 2015 hivyo anatafuta watu wa kumuunga mkono, hivi urais asiopata itakuaje? Naakiptarostam atampa nini?
 
Lowasa anatafuta urais kwa nguvu sijawahi kuona rais aliyetumia nguvu kama yeye anayetumia nguvu katika amu zote kama yeye hadi huruma akikosa anatafuta watu wa kumuunga mkono ila wenye akili wanamuangalia tu
 
Back
Top Bottom