Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Kuna tetesi kuwa waziri mkuu aliyejiuzulu amemualika waziri mkuu wa sasa mzee Pinda nyumbani kwake monduli kwenye tafrija probably ya kuaga mwaka.
Swali rahisi...je Lowassa anataka kujenga picha gani kwa kumualika na kusherehekea na Pinda?
Au tuseme Pinda anataka kujenga picha gani kwa kukubali kushereheka na Ndugu Lowassa?
Au ...wadau tunajifunza nini kuona mawaziri hawa wakishereheka pamoja ?
Cc Pasco

Last edited by a moderator: