Lowassa amtisha Rais Kikwete

Lowassa amtisha Rais Kikwete

Lowassa ni fisadi anaenunua urais, haieleweki anaenda ikulu kufanya nn huyu mtu

Hakuna mwana CCM hasiye tumia pesa kupata utawala,kwa hiyo Lowassa anafanya jambo la kawaida sawa na wagombea wenzake.
 
hivi mwaka huu kwa nini hawataki mafisadi wagombee? wameshtuka nini? mbona miaka yote mafisadi yenye pesa za kuhonga ndo yanayoshinda kupitia chama? mwaka huu kunani kwani? na jee ni mafisadi wote watazuiwa au ni baadhi tu na baadhi wanaachiwa? Kama mafisadi wengine wanahonga mihela na wanachaguliwa kwa nini iwe kwa wengine hapana? waacheni mafisadi nayo yagombee, ni haki yao.

Ha ha ha ha ili yaendelee kuwaibia watanzania kwa kuwa wanahaki ya kuibiwa na mafisadi.
 
Wafuasi wa Lowassa wamejitokeza na wanatoa hoja si katka magazeti,redio na kwingineko,sasa mtu unatumia muda mrefu kumsema Lowassa lakini hujitokezi KUMJENGA yule unaemtaka! Lowassa hafai sema yule anaefaa na kwanini anastahili kukabidhiwa nchi aiongoze! Wengi mnaodhani mnamchafua Lowassa mimi naona kama ndo mnazidi kumjenga! Lakini mkumbuke lowassa nae ana mazuri yake! simtetei lkn ndio ukweli.!

Ndani ya CCM hakuna mtu anaefaa, kinachotakiwa ni kufanya mabadiliko ambayo yatapatikana nje ya CCM ambako kumejaa mamilioni ya watanzania waadilifu.
 
Mmeanza woaga. Mlipokua mnaiba hamkujua ipo siku tutapata Rais makini. Lowasa ukiwa Rais funga hawa wezi navfamikia zao firisi. Tunataka tanzania yenye matumaini mapya sio hawa wezi
 
Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete, Salma Kikwete, Bernard Membe, George Madafu, Jack Zoka na Othuman Rashid

Wezi wa kura za uchaguzi uliopita. Hii nchi itabadilika wakati wezi sugu watakapopigwa mawe kama wezi wa kuku. We know who take tax payers money, the solution will be to condemn them the same way when a thief snatches a watch of earrings.
 
Mmeanza woaga. Mlipokua mnaiba hamkujua ipo siku tutapata Rais makini. Lowasa ukiwa Rais funga hawa wezi navfamikia zao firisi. Tunataka tanzania yenye matumaini mapya sio hawa wezi
Kwanza hawezi sababu mwiz hawezi kumfunga mwiz. pili hata kama angeshukiwa na upako mtakatifu akageuka na akaamua kuwashughulikia wezi bado hatoweza sababu mfumo wa ccm hautamruhusu. madhaifu ya ccm ni ya kimfumo si ya mtu mmojammoja. hata uweke malaika pale ccm hawezi kuleta lolote jipya katika nchi hii zaidi ya kujinufaisha yeye na marafiki wake wachache. Kinachotakiwa ni total ovehaul ya mfumo wote wa kifisadi wa chama. wanasiasa wote wa ccm waondolewa kwenye mfumo wabaki watendaji tu na tuingize na watendaji wapya wenye damu na fikra za kimaendeleo na kimapindiz....

ndio, mapinguzi ya kijani.
 
Labda Ridhiwani ndo awe raisi
Vinginevyo hao uliowataja na wengine hawatakosa kuburuzwa kwa pilato, regardless aliyeingia ni wa CCM au UKAWA
 
Jamaa kaisha anza kua soft ka ma "TP" toka juzi namfatilia katika matamko na maongezi yake kuhusu "chama" unaona kabisa mihemuko inaenda inaisha.

ila jamaa huyu siku hizi kawa mpole sana
 
Huyu anayelazimisha apewe uongozi anafanya hayo ikiwa ni sehemu ya mila na desturi ya kimasai

Umeshawahi kumuona Mmasai awe ni trafiki ama ana wadhifa wowote serikalini ..? Chunguza kwa makini tabia na hulka zao ni za kulazimisha lazimisha

Umeshawahi kuhusiana katika swala lolote na Mmasai katika Shughuli za kimaisha iwe kibiashara au kikilimo Mmasai hujirusha ufahamu pale anapotaka kudhulumu kwa kujifanya haelewi vizuri lugha ya kiswahili kwa kukuzungusha kwa lengo la kupotosha maana ili awe katika hali ya ukinyonga kinyonga..

Umeshawahi kuvitembelea vijiji vya kimasai na kufanya nao biashara au kuishi nao .? Kama hujawahi muda ndio huu fuatilia kwa karibu uwajue vizuri Jamii anamotoka anayelazimisha kutuongoza kwa gharama yoyote.


Mmasai husaidiana na kuhamasishana hata katika ujinga huwa pamoja kushirikiana
kufanya lolote kwa makundi makubwa ya morani wakiwa wamejihami kwa marungu na sime


Mwishoni mwa miaka ya themanini wamasai wa kenya waliliteka bunge la kenya na hata kuingia ndani na kukikalia kiti cha spika huku wengine wakivikalia viti vya wabunge ikumbukwe wamasai wote wana mila na dasturi moja awe kenya au Tanzania.

Kumbuka Kiteto na Dumila utapata picha ya Wamasai vurugu na mauaji yanayotokea .,jiulize ni kwanini iwe ni Mmasai wanashambuliana na makabila yote wanayopakana nayo..?

Lowassa analazimisha uongozi na akipewa atawapa nafasi Jamii yake watulazimishe wayatakayo kwa miaka mitano watatulazimisha tuwe vijakazi vyao.
 
Sasa hilo baraza la mawaziri amepanga Lowassa au ni wewe umepanga kwa mtazamo wako ! kwani lazima uandike na kupost?

aliopanga hill baraza amelikera jukwaa ! lote / baraza gani bovu namna hiyo!
 
Acha udaku uitwe udaku! Lowassa ndiye rais anayeweza kuwaagiza vijana wa leo wafanye kazi na wakasikia! All the best Leigwanani
 
Yes, tunajitaji rais asiyependwa na mafisadi na si mwingine bali ni lowasa
 
Lowasa hana sifa za kuwa raisi siyo mwadilifu .
VOTE FOR UKAWA.
Mkuu, tumia maneno yaliyo sawa. Ukitaja jina Lowasa, taja na jina la huyo atakayeshindana nae. Ukitaja CCM ni sawa ukitumia jina la UKAWA kusemea upande wa pili.
Siyo sawa kusema Lowasa anapambana na Ukawa. Sema CCM inapambana na ukawa. Au ukawa mgombea hana jina?
 
Mkuu, tumia maneno yaliyo sawa. Ukitaja jina Lowasa, taja na jina la huyo atakayeshindana nae. Ukitaja CCM ni sawa ukitumia jina la UKAWA kusemea upande wa pili.
Siyo sawa kusema Lowasa anapambana na Ukawa. Sema CCM inapambana na ukawa. Au ukawa mgombea hana jina?
NDANI ya ccm hakuna mwenye sifa za kugombea uraisi wote ni mafisadi .
VOTE FOR UKAWA.
 
Wanabodi tumekuwa mara kwa mara tukisikia kuwa mh. Edward Lowassa akichaguliwa kuwa rais wa nchi hii atalipiza visasi kwa uongozi wa kikwete,je ni kweli kwamba hofu hiyo ya uongozi wa kikwete ni wa kweli? kama ni kweli basi wanajua kuwa hawakumtendea haki mh. Lowassa na hasa sakata la richmond.Tunaomba Lowasa atendewe haki na wananchi waamue wanaemtaka fullstop.
 
Back
Top Bottom