Lowassa amtaka Zitto UKAWA

Lowassa amtaka Zitto UKAWA

Mbowe aligoma kukaa meza moja na ZZK...jamaa ana kinyongo sana..ila nadhani mbele ya Bn 10 mchaga yule lazima alegeze uzi
 
Ila kama ukawa wako tayari kumpokea Luwasa wanashindwaje kumpokea ZZK iwapo kama wote lengo ni moja? C unafiki huo?

Chadema inaweza tumia mbinu yoyote kuhakikisha CCM wanatoka ikulu.
 
Lowassa amtaka Zitto kujiunga UKAWA ili mpambano uwe kati yake na Magufuli.

Mazungumzo Makali yanaendelea namna gani ya kumjumuisha Zitto.

Chanzo: Magazeti ya Leo na Jana RAIA mwema

Kuna kitu kati ya raia mwema na zitto naona hili gazeti linajaribu sana kumpandisha na kuiyumbisha CHADEMA tangu wakati ule wa mgogoro wake na CHADEMA
 
Niliisoma hiyo stori kwanye gazeti la Raia Mwema na kushtushwa kuwa hili gazeti nalo linajikita kwenye propaganda za kijinga. Kweli inaingia akilini kuwa Lowassa anaweza kutoa 'such a bizarre advance' eti anamtaka Zitto wakati (anajua alifukuzwa Cdm); badala ya kuzingatia vigezo. Mbona kuna vijana wengi tu Ukawa wenye uwezo mkubwa? Au ili uungwe mkono na wapiga kura vijana lazima tu uwe kijana? Kwa kifupi hii stori ni ya kutunga (fabricated) na ya kipropaganda yenye lengo la kumfagilia Zitto ili wananchi wadanganyike kuwa ni indispensable; na eti bila yeye hiyo ndoa ya Lowassa na Ukawa (kama kweli ipo) haiwezekani!

Hakuna kijana UKAWA aliye na mkoa nyuma yake, Lowassa anajua akimpata Zitto anaipata Kigoma, cant you see the logic behind??

Kigoma kuna kura takriban million 1, mgombea yote makini lazima azitolee macho hizo kura ata kama hampendi atakayemsaidi kuzipata kura hizo, hapa ndipo unapoona kuwa akina Dr Slaa hawazijui hesabu za kisiasa, kama Lowassa kawaambia hivyo sio kwa sababu anampenda Zitto bali kwa sababu anajua ni namna nzuri ya kujihakikishia kura hizo za Kigoma.
 
Nishasema; Awamu hii UKAWA ikubali kumpokea hata shetani ili mradi tu shetani wa kijani CCM ang'oke ogopa sana miaka mingine mitano chini ya CCM aka wazee wa Ndiyoooooooooo😡
 
Jamani mnatakiwa kuelewa nchi tumefika hapa tulipo kwa sababu ya uongozi wa Ccm kwahiyo adui yetu ni mmoja CCM.hivyo vyama vyote vinauungana kumuondoa adui CCM hayo mengine tutaongea tufanyeje baada ya kumuondoa adui
Mbowe aligoma kukaa meza moja na ZZK...jamaa ana kinyongo sana..ila nadhani mbele ya Bn 10 mchaga yule lazima alegeze uzi
 
Jamani mnatakiwa kuelewa nchi tumefika hapa tulipo kwa sababu ya uongozi wa Ccm kwahiyo adui yetu ni mmoja CCM.hivyo vyama vyote vinauungana kumuondoa adui CCM hayo mengine tutaongea tufanyeje baada ya kumuondoa adui

Mkimweka Lowassa na teamyake mambo yatakuwa yaleyale...hakuna tofauti..ni bora niendelee kupigia ccm
 
Mambo hayawezi kuwa Yale Yale ,kwasababu ndani ccm na serikali yake ukiiba hakuna kesi lakini kama kweli team lowasa ni mafisadi ccm wataleta ushahidi na mafisadi wote watathibitishwa mahakamani

Kumekuwepo uvumi wa uongo ya kuwa kwenye ile list of shame iliyotamkwa na Dr. Wilbard Slaa pale Mwembe Yanga eti jina la Mhe. Edward Ngoiyai Lowassa lilitajwa.

Ukweli ni kuwa orodha ya majina kumi ni hii hapa na Lowassa hayumo. Mnyonge msimnyonge bali haki yake ya kiukweli tumpe...

1. Daudi Balali
2. Andrew Change
3.Basil Mramba
4. Agrey Mgonja.
5.Patrick W.R. Rutabazibwa.
6.Nimrodi Elirehema Mkono.
7. Benjamin William Mkapa.
8.Jakaya Mrisho Kikwete.
9.Nazil Karamagi.
10. Rostamu Azizi
 
Nitawashangaa wapinzani kama wataachia usukani. In Zambia vijana walio-anzisha MMD walipomkaribisha Chiluba baadae aliwafanyia kitu mbaya. Banda in Malawi, Mrema na NCCR Mageuzi. Hivyo CDM nina imani hizi historia wanazifahamu-otherwise watampata Mwenyekiti atakaeingia na kundi lake kuchukua chama.
 
Kumekuwepo uvumi wa uongo ya kuwa kwenye ile list of shame iliyotamkwa na Dr. Wilbard Slaa pale Mwembe Yanga eti jina la Mhe. Edward Ngoiyai Lowassa lilitajwa.

Ukweli ni kuwa orodha ya majina kumi ni hii hapa na Lowassa hayumo. Mnyonge msimnyonge bali haki yake ya kiukweli tumpe...

1. Daudi Balali
2. Andrew Change
3.Basil Mramba
4. Agrey Mgonja.
5.Patrick W.R. Rutabazibwa.
6.Nimrodi Elirehema Mkono.
7. Benjamin William Mkapa.
8.Jakaya Mrisho Kikwete.
9.Nazil Karamagi.
10. Rostamu Azizi

Mkuu 4 U movement wataanza kuandamana umekata jinalake kama "kitengo" kilivyokata jina?
 
Back
Top Bottom