Lowassa amtaka Zitto UKAWA

Lowassa amtaka Zitto UKAWA

Msaliti atakuwa kapata ulaji,MAGAMBA wana akili sana wanajua kuwatumia watu jinsi watakavyo angalia wanavyowatumia SHIBUDA na ZITTO wao wanataka usiwepo kabisa upinzani TANZANIA wanataka ccm itawale milele yote.
 
Chadema nao wagoma

Screenshot_2015-07-24-08-19-53-1.png
 
zitto asikaribishwe ataanza kuiba siri za vikao.Huyu dogo msariti atawauza wenzake ukawa itasambaratika.Zitto ni nyoka wa zamani.
 
Kuna taarifa mpya kwamba ACT ilianzishwa na mtandao wa Membe siyo Lowassa, sasa Zito akasaliti masharti ya uanzishwaji wake na baadae kuhamia kambi ya lowassa, akakatiwa fund na Team Membe, sasa hujiulizi ni kwa nini kila mbunge anayehama ni kimbilio ni Chadema tu?
 
Comment zako inaonesha ww ni mtu wa namna,may b unastress na maisha!!! si tumekuletea habar za magezeti ya leo na sumnary kidogo baada ya kujadili kma kinachoendelea kwa viongoz wako,ww unamshambulia mtonaji?!!!!@Victor wa happy;
 
Ukimkataa Zitto kujiunga UKAWA, unataka ccm iendelee kutawala.
 
Kama Lowassa anataka kupewa fursa ya kugombea asiwape wenzake masharti otherwise arudi CCM tuone maana Zitto ni tapeli aubaingie ACT agombee lkn co kubebwa alafu unakuwa na masharti ya kijinga.

Chadema wakimrudisha Zitto kwenye kambi yao na withdraw support yangu kwao

Hukumbuki kauli ya mchungaji Msigwa kuwa Chadema ni kama kanisa la wokovu, halichagui, so kwanini zitto haruhusiwi kanisani (chadema)?
 
Kama ni kuitoa ccm madarakani na iwapo wote wana lengo hilo moja washirikiane tu kila mtu akiwa kwenye chama chake. Kwani Lowasa yeye anamhitaji Zitto kibinafsi au support yake? Kama ni kuunganisha nguvu si kumwita tu na kumwomba awaunge mkono UKAWA na mgombea wao? Au tatizo itakuwa mgawanyo wa majimbo?
 
zitto akija UKAWA mimi najitoa mara moja ! sababu zinafahamika , ni kweli tunatafuta ushindi , lakini si ushindi wa kizembe namna hii .
 
Lowassa amtaka Zitto kujiunga UKAWA ili mpambano uwe kati yake na Magufuli.

Mazungumzo Makali yanaendelea namna gani ya kumjumuisha Zitto.

Chanzo: Magazeti ya Leo na Jana RAIA mwema

Kokote aendako lowasa ni majanga kwao
 
Kama ni kuitoa ccm madarakani na iwapo wote wana lengo hilo moja washirikiane tu kila mtu akiwa kwenye chama chake. Kwani Lowasa yeye anamhitaji Zitto kibinafsi au support yake? Kama ni kuunganisha nguvu si kumwita tu na kumwomba awaunge mkono UKAWA na mgombea wao? Au tatizo itakuwa mgawanyo wa majimbo?

Zitto mpango wa kuitoaCCM hana...halafu yy ale wapi?
 
Lowassa asiwe kama mwanamke wa baa akipewa ofa anataka kuja na mashoga zake sita.
 
Back
Top Bottom