Lowassa amtaka Zitto UKAWA

Lowassa amtaka Zitto UKAWA

Lowasa anamtaka kwa sababu zifuatazo,kuondoa dhana ya Ukaskazin,kuteka kundi la vijana cos Slaa,Mbowe na Lipumba wote ni wazee na mwisho umoja.

Kwani huo ujana wa Zitto unadhihirika akiwa ndani ya Ukawa tu? Na yeye EL ni nani mpaka aamue nani wa kuvutia vijana ndani ya Ukawa? Nyie mshamlia mzee hela zake angalieni jinsi ya kumchangia ama kama mmezimaliza basi mtafutieni hata mtu wa ushauri nasaha ili atulie.
 
DSC09866.jpg
Kama hii habari ni ya kweli, nitazidi kuamini huyu mchaga ni mnafiki na yupo pale kwa maslahi yake binafsi na siyo ukombozi wa taifa letu.
 
Ila kama ukawa wako tayari kumpokea Luwasa wanashindwaje kumpokea ZZK iwapo kama wote lengo ni moja? C unafiki huo?
umenena.!! hata shetani anashangaa ,hapa wanaomkataa ZZK sio chadema bali ni Mbowe na Lissu
 
Kama tatizo ni ZZK nasema Siyo lazima ACT ijiunge rasmi UKAWA. Nikimaanisha ACT inaweza kui-support UKAWA bila kujiunga............ Ni kiasi tu cha kuelekeza wanachama wake wampigie kura mgombea urais wa UKAWA.
 
Niliisoma hiyo stori kwanye gazeti la Raia Mwema na kushtushwa kuwa hili gazeti nalo linajikita kwenye propaganda za kijinga. Kweli inaingia akilini kuwa Lowassa anaweza kutoa 'such a bizarre advance' eti anamtaka Zitto wakati (anajua alifukuzwa Cdm); badala ya kuzingatia vigezo. Mbona kuna vijana wengi tu Ukawa wenye uwezo mkubwa? Au ili uungwe mkono na wapiga kura vijana lazima tu uwe kijana? Kwa kifupi hii stori ni ya kutunga (fabricated) na ya kipropaganda yenye lengo la kumfagilia Zitto ili wananchi wadanganyike kuwa ni indispensable; na eti bila yeye hiyo ndoa ya Lowassa na Ukawa (kama kweli ipo) haiwezekani!
 
Naona hawa Maccm yanajitekenya na kucheka yenyewe, Lowasa hajajiunga na UKAWA iweje akaribishe wengine na kama nani kwanza, pili huyu mamvi anataka urais iweje ampe Zitto ambaye kwanza si uwaka? Jitekenyeni tu sisi tunasonga mbele mtabaki kumuota Lowasa wenu
 
Wenye Chama wakiamua kumkaribisha Zitto hata kesho anarudi na hawa bendera fata upepo wa humu JF utakuta wameshajaza sababu lukuki za kubariki huo uamuzi kwani wangapi walitegemea Lowasa anaweza kukaribishwa CDM? si hawa hawa walikuwa wanamtukana Lowasa lakini leo kwa vile MFALME kashamkaribisha Lowasa leo wote wamegeuka kumtetea kana kwamba hawajawahi kumtukana inshort ni kwamba hawa jamaa wanaendeshwa kwa remote control kutokea Ufipa maslahi ya mfalme yakiwa tu Salama hata Kesho Zitto anakaribishwa CDM/UKAWA
 
Hapo ndipo ccm wapoonesha ukongwe wao. Wapinzani giza tupu wamevurugwa tayari
 
Kama Lowassa anataka kupewa fursa ya kugombea asiwape wenzake masharti otherwise arudi CCM tuone maana Zitto ni tapeli aubaingie ACT agombee lkn co kubebwa alafu unakuwa na masharti ya kijinga.

Chadema wakimrudisha Zitto kwenye kambi yao na withdraw support yangu kwao
CHADEMA imejitoshereza bila huyo Lowasa na Hayatollah,wasiaze kulazimisha mambo si ameshajibiwa na UKAWA kuwa hawamhitaji na yeye akajibu kuwa hajaomba kujiunga nao sasa anachotaka bado ni nini?! ZZK Amepima upepo ameona huu ndo mwisho wake kisiasa sasa anataka kuwapandia wenzake mgongoni !! ngoja akome .
 
Lowassa akachunge ng'ombe Monduli kwani aliyemwambia bila yeye Tanzania mvua hazitanyesha ninani?
 
Zitto Kurudi UKAWA/CHADEMA baada ya Lowassa Kujiunga na CHADEMA

¤Zitto Kabwe atarudi UKAWA (au CHADEMA) baada ya Lowassa kuingia CHADEMA.

¤Lowassa akishaingia CHADEMA itakuwa haina maana tena kwa Zitto kuendelea na mradi wa ACT Wazalendo.

¤Hii ni kwa vile team Lowassa ndio iliyokuwa ikitoa pesa za kuanzishwa na kuendeshwa kwa ACT.

¤Pia Lowassa alikuwa na mpango kama angekuwa Rais kwa upande wa CCM basi angemfanya Zitto kuwa Waziri Mkuu wake.

¤Mnakumbuka Zitto alihojiwa na Emmanuel Buhohela kwenye kipindi cha "Dakika 45" cha ITV na kusema baada ya uchaguzi atakuwa atapewa madaraka makubwa sana nchini kwa hiyo viongozi wenzake wa upinzani wasimbeze kwani kuna kipindi atakuwa muhimu sana kwao.

¤Ugomvi mkubwa wa CHADEMA na Zitto ilikuwa kwamba Zitto alikuwa anachukua siri za chama na kuwapelekea watu wa CCM. Kwa vile watu aliokuwa anawapelekea siri hizo ndio hao hao watakaohamia CHADEMA basi hivi sasa hilo kosa sio kubwa sana na ni lenye kusameheka.

¤Bila shaka Lowassa atakuwa na ushawishi mkubwa ndani ya CHADEMA hususan baada ya Mbowe kuwa 10 Billion. Kufanikisha hili itakuwa chini ya uwezo wake ukichukulia lengo lake ni kujumuisha nguvu zote za upinzani ili kufanikisha malengo yake ya "Safari ya Matumaini" ile iwe "Safari yenye Uhakika"
 
Hizi thready mnazifungua kama njugu, hata mkisikia maneno ya kikao cha kahawa tu mnaingia kufungua thready ukweli mnatuchosha ahamie asihamie sioni mpya hapo.
 
Kindo kicha sana meku, kya maana le, lutakie luwaaye kindo kyi kekelao mfumo sisiemu kuoka. Na koka mnduchu kaingia chama kyi na kairiwaa mfumo chu. Ruwa nataramo
 
Back
Top Bottom