Kama hujui ni bora ukakaa kimya,zzk ni msaliti mkubwa,hafai.
Wewe unaejua weka wazi usaliti wake ukishindwa basi jua nawe ni mmoja ya wafuata upepo
Kama hujui ni bora ukakaa kimya,zzk ni msaliti mkubwa,hafai.
Hakuna haja ya kutengana wakati adui ana nguvu sana ni kuungana hapa kumwangusha adui kwanza. we need changes
Kumekuwepo uvumi wa uongo ya kuwa kwenye ile list of shame iliyotamkwa na Dr. Wilbard Slaa pale Mwembe Yanga eti jina la Mhe. Edward Ngoiyai Lowassa lilitajwa.
Ukweli ni kuwa orodha ya majina kumi ni hii hapa na Lowassa hayumo. Mnyonge msimnyonge bali haki yake ya kiukweli tumpe...
1. Daudi Balali
2. Andrew Change
3.Basil Mramba
4. Agrey Mgonja.
5.Patrick W.R. Rutabazibwa.
6.Nimrodi Elirehema Mkono.
7. Benjamin William Mkapa.
8.Jakaya Mrisho Kikwete.
9.Nazil Karamagi.
10. Rostamu Azizi
Lowassa amtaka Zitto kujiunga UKAWA ili mpambano uwe kati yake na Magufuli.
Mazungumzo Makali yanaendelea namna gani ya kumjumuisha Zitto.
Chanzo: Magazeti ya Leo na Jana RAIA mwema
Hivyo ndivyo watu wote wanaojua siasa, wanavyopasa kufanya, ZZK ni jembe, EL anajua, kama Chadema ni kweli inahitaji kuingia ikulu kwa dhati, ni lazima ikubali ku employ na ku deploy silaha zote za maangangamizi, Zitto ni LPG, RPG, SMG, AK 47 na Katiwisha!.
Watu wanasahau tofauti zao, wanaungana against a common enemy, wakiisha shinda ndipo wana work modalities za working together!.
Pasco
Kindo kicha sana meku, kya maana le, lutakie luwaaye kindo kyi kekelao mfumo sisiemu kuoka. Na koka mnduchu kaingia chama kyi na kairiwaa mfumo chu. Ruwa nataramo
Hakuna kijana UKAWA aliye na mkoa nyuma yake, Lowassa anajua akimpata Zitto anaipata Kigoma, cant you see the logic behind??
Kigoma kuna kura takriban million 1, mgombea yote makini lazima azitolee macho hizo kura ata kama hampendi atakayemsaidi kuzipata kura hizo, hapa ndipo unapoona kuwa akina Dr Slaa hawazijui hesabu za kisiasa, kama Lowassa kawaambia hivyo sio kwa sababu anampenda Zitto bali kwa sababu anajua ni namna nzuri ya kujihakikishia kura hizo za Kigoma.
kura milioni 1? muongo wewe. lakini wazo la lowasa ni zuri. nampenda sana huyu fisadi mstaafu.