Lowasa hawezi kuwa rais never ever. Hatufai wanyonge na watanzania. Hii nhi ni changa sn na ipo katika ujamaa na kujitegemea. Yeye ni bepari. CCM kama kweli wanataka washinde 2015 wampitishe Prof. anna kajumulo tibaijuka kugombea.
Mkuu na wewe ume onja kitei na sumu pale Ilboru? maana hiyo terminology ya Ilborians... Bahati mbaya sana kwa sasa Lowassa hazuiliki! presence yake inawaogofya akina Joka la Mdimu na watu wake ....
Kamfuata mama yako
Lowassa anataka urais 2015
Acheni umbea mi mbona nlikuwepo hamniseni? subirini ashike hatamu mtaona atakavyo wafanya nyie wote mliomuita fisadi
Mzee kumbe tulikuwa wote kwa Bino na Mzee Mapambano? Nasikia Medukenya alifariki.
lowassa ameshachoka
Haswaa sisi ni Vijana wa yule Bondia Bino!...Inasifika sana..kujitegemea kwake inasifika sana!!!....hahahaha... sad, Mzulu kafariki lini tena? Najua Chief, Salema, Mtui, Mutabuzi, shelukindo nafahamu kuwa walishatangulia kwa muumba ...
sarakasi za ccm kama sinema
Huwa najiuliza sana, hivi Lowassa anautafuta urais wa nini wakati afya yake imedhoofu kiasi hicho? Na kama urais ndio unatafutwa hivyo, basi tujiandae kwa mateso.
Kamfuata mama yako
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?
Inakokwenda watataka hadi "asikate gogo"
Kama kumuandama ni bora ulaumu chama chake ,maana ndio kilikataza kujipitishapitisha , mimi nimeuliza tu.↑ this is so true... that was an event jamanii na alipewa mualiko kama watu wengne walivyopewa mualiko pia,and akaamua kwendaa kama watu wengine walivyoendaa, mtoa hojaa inaelekeaa umemuonaa tuu lowassa hapo, its irritating ,he has the right ya kufanyaa his personal issues piaa sio kila kukichaa mnamuandama tuu....