Lowassa alifuata nini Iringa?

Lowassa alifuata nini Iringa?

umesahau ile adhabu ya mangula kwa wanaojipitisha pitisha kabla ya muda ?
<br><font size="3">sasa wataanza kuamuliwa hadi aina ya vyakula vya kula, style ya kuweka d.u.d.u, hata muda wa kukata gogo</font><br>
<br>
 
Aalikwe kama waziri mkuu mstaafu, sorry sio mstaafu, aliyejiuzulu, sorry tena leo nachapia sana sio aliyejiuzulu ila aliyeshinikizwa kujiuzulu kwa shinikizo la juu kutokana na kashfa nzito ya ufisadi wa RICHMOND.

inaelekea ww una upele halafu umekosa kucha
 
Itashangaza sana CCM kumpitisha mtu waliyemwajibisha wenyewe kugombea urais wa nchi hii! Halafu hata yeye mwenyewe hajitathmini? Walicheza mchezo wa kuigiza akashindwa akawajibika akirudi tena kwenye uarais si ndio itakuwa yaleyale ya kuchezea uchumi wetu kwa kuzunguka mbuyu?
 
Ila jamaa magonjwa yamemmaliza sana yaani anatetemeka sana sijui ni nn na Tb joshua alimuombea ila jamaa anachanganya sana imani
 
Duh!
Kama hadi kualikwa kwenye hafla nongwa,basi afungiwe selo.
 
Huwa najiuliza sana, hivi Lowassa anautafuta urais wa nini wakati afya yake imedhoofu kiasi hicho? Na kama urais ndio unatafutwa hivyo, basi tujiandae kwa mateso.

tutampgia kura hata kama yu mahtuti ametundikwa drip kitandani.chezea EL wewe!.
 
Tuseme Magamba wamemzuia kwenda hata kwenye harusi na Vipaimara?
 
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?

Acheni mambo ya ajabu Lowasa bado ni Mtanzania na muumini anayo haki ya kwenda popote na kuingia makanisa yoyote kama mtanzania kilichokatazwa ni kutumia makanisa na misikiti na jamii zingine kutafuta kuungwa mkono kwenye mbio ya uraisi jeulimuona akipanda jukwaani na kusema chochote?. kwa mwendo mutamkataza mpaka kuingia bungeni kwenda sokoni na hata bar mtakataza baba wa watu.
 
Dah hivi katiba ya nchi inazungumziaje swala la mtu kwenda anakotaka katika jamhuri yetu?
 
Ccm Maovu y lowassa mnayajua mpaka mkamwajibisha hatutarajii mtampitisha kugombea urais wakati uchafu wake mnaujua
 
we ni -------- sana

ana haki ya kufanya mambo binafsi

sijasikia unaongelea any other people wanaoonekana kwenye hafla??

this irritates sana

kwani kuna mwingine aliyekuwepo pale miongoni mwa walioitwa na kamati mangula ?
 
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?

anataka urais siasa za nchi hii lazima uwepo maeneo kama hayo kama makanisa misiba sherehe n.k
 
Aisifuye mfua humyea kuna siku Lowasa atatuonyesha kuwa ni mzalendo wa kweli kwa kuchukua Mali zake kuziuza atulipie deni la taifa.
 
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?

Muache ahangaike, uyo kishajiengua 2015. Uraisni utakatifu wala sio kutumia nguvu wala umungu mtu hapa duniani. Rais ajae ni yule asiekua na makundi kwan akiingia ikulu haendi na jamaa zake na kundi lake na uongoz utakua wa kiuadilifu zaid.
Tuwaepuke watu wanaotaka urais kwa nguvu zao zote hata kama wanazuiwa au wanapotoka kimaadili. Tanzania ni ya watanzania
 
Tena ni usenge . yan kodi za walalahoi mabilion kwa mabilion yatumike kufanya uchaguzi kwa mtu anaeletwa kuapishwa kwa machela? uo ni uzabizabina tumia akili kufikiria kijana. Wafikirie wanafunzi wanaokosa mikopo au wanaoshindwa kusoma kwa kukosa ada au watu wanaoshindia mlo mmoja kwa siku. Tunataka keki ya Tanzania iwanufaishe Watanzania. Kwa kwa ubabe wetu wanaume ulivo, natamani rais ajae awe mwanamke msomi. Wanawake wanahofu ya mungu na ni wasikivu sn.
 
Lowasa hawezi kuwa rais never ever. Hatufai wanyonge na watanzania. Hii nhi ni changa sn na ipo katika ujamaa na kujitegemea. Yeye ni bepari. CCM kama kweli wanataka washinde 2015 wampitishe Prof. anna kajumulo tibaijuka kugombea.
 
Back
Top Bottom