Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Itashangaza sana CCM kumpitisha mtu waliyemwajibisha wenyewe kugombea urais wa nchi hii! Halafu hata yeye mwenyewe hajitathmini? Walicheza mchezo wa kuigiza akashindwa akawajibika akirudi tena kwenye uarais si ndio itakuwa yaleyale ya kuchezea uchumi wetu kwa kuzunguka mbuyu?
lowasa aliwajibika mwenyewe,hakuwajibka.