Lowassa akiwafunda Mameya wa UKAWA

Jambo jema sana.
Swali Mboe, katibu Mkuu mbona siwaoni hapo. Ni mgawanyo wa majukumu? Au ndo kale ka mfukuto ka Chini Chini?
Hujasoma mpaka paragraph ya mwisho mkuu (I understand, its big problem to Africans) hiyo last paragraph imesema Katibu mkuu alikuwa ni mmoja wa watoa mada kwenye huo mkutano..
 
Safiiiiiiiii lowasa endelea kuwanoa madiwan wetu na viongoz wetu kwa ujumla. People's power
 
chadema nikubwa sio lzm awe mbowe hapo tofautisha wanaharakiti na chama kinacho taka dola
 
Haya sasa chenyewe si kikao hao wanaojiita bavicha mbona hawajakizuia na wala polisi hawajazuia
Mimi si mwanasiasa lakini siasa za ulaghai za ovyo sana
Kwa sasa polisi-ccm wameshikwa na kugugumizi kuelekea mkutano wa ccm vis a vis tamko la Bavicha. Kwa muda huu hawawezi kuzuia mikutano ya ndani ya vyama vya siasa.
 
hizi ndizo kazi za katibu mkuu wa chama.....mshauri wa chama ndio anakuwa juu kukiendeleza chama kuliko katibu wa chama?mshauri anakuwa na mipango thabiti kuliko katibu wa chama??
Wewe ndio unamuita mshauri...lakini Mwenyekiti anajua nafasi ya Edo chamani.
 
Ndio maana serikali inaogopa sana.I get the point
Sio serikali tu...hata sisi wanainchi wa kawaida, yule jamaa ni kichwa sana ati....semina ya siku moja tu inaweza kuzalisha Mchwa wasiodhibitika....wanaokula mpaka chuma.
 
UFIPA KWA NN HUO MKUTANO MSINGEFANYIA MOROGORO ILI KUONDOA UKANDA ,,,,,
 
Back
Top Bottom