Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,663
HuelewekiKwa akili yako unaweza kumuiga mbowe?
Andika ueleweke nitakujibu
HuelewekiKwa akili yako unaweza kumuiga mbowe?
Ujumbe wa kupewa kama zawadiMjumbe wa kamati kuu ya cdm. Kuna lingine uliza!?
Kwa sasa polisi-ccm wameshikwa na kugugumizi kuelekea mkutano wa ccm vis a vis tamko la Bavicha. Kwa muda huu hawawezi kuzuia mikutano ya ndani ya vyama vya siasa.
Tupo pamoja naweAkizungumza katika mkutano wa mameya na wenyeviti wa Halmahauri watokanao na CHADEMA unaofanyika East Africa Hotel Arusha leo, Mh Lowassa amesema..
Tunataka halmashauri zetu ziwe za mfano Tanzania kwakuwa na Agenda ili tujue nikipi kipaumbele cha kuwatumikia wananchi, pia tuangalie Ni kitegauchumi kipi katika halmashauri husika kinaweza kuwapa wananchi wetu ajira.
Pili Tunataka kuimarisha Chama chetu kwa kushuka chini hadi ngazi ya Msingi ambapo ndipo walipo wanachama watu, (Grass Root.)
Pia nataka niwashauri Mameya wetu kuhakikisha wanashirikiana na wananchi katika kutekeleza ahadi ya Mabadiliko na Maendeleo.
Katika kikao hicho maalumu cha mkakati, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji na Katibu wa Kanda ya Kaskazini wampata fursa ya kutoa mafunzo mkakati na nasaa zao.
View attachment 364518 Picha ya pamoja bada ya session ya kwanza
View attachment 364519
View attachment 364520
View attachment 364521
View attachment 364522
View attachment 364523
Lowassa noma sanaChadema imepata vichwa, magufuli asichukulie kirahisi atamaliza miaka 5 huku 90% ya muda wake ametumia kupambana na bavicha.