Lowassa akiwafunda Mameya wa UKAWA

Hiyo mikutamo kwa sasa inayohusu mikakati ya maendeleo ndo inayotakiwa kwa sasa na si ile ya maandamano
 
Chadema imepata vichwa, magufuli asichukulie kirahisi atamaliza miaka 5 huku 90% ya muda wake ametumia kupambana na bavicha.
 
Safi Sana mh. Lowasa
Lazima tuwaonyeshe tofauti kati ya kutawala na kuongoza

Ukawa kuna viongozi wa kupigiwa mfano
Udikteta sio jadi ya chadema
 
HOnestly CHADEMA wapo makini kuliko CCM by far far ....so creative and visionary...
 
Natamani rais wangu magufuli angejaaliwa hekma kama mzee Lowassa. Aghrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Hicho ndicho kilichomuondoa CCM fisadi Lowasa, yeye ukubwa tu ndiyo anataka kinyume na hapo hamuendani, sasa hapo Lowasa wamemfikisha kwamba yeye ndiyo mkubwa na siku watakapokuja kugombana na chadema ni ile siku ambayo watachallenge huko kupenda ukubwa wake hapo ndiyo utakuwa mwisho wa Lowasa chadema!

Lowasa atawasumbua sana chadema, huyu jamaa ni mgonjwa!
Unasema mh.Lowassa ni mgonjwa..nikuulize swali..Je wewe ni mzima? Usiseme mwenzako mgonjwa wakati wewe mwenyewe ikitokea unafanyiwa check up utakuwa na mgonjwa mia kidogo....changa mdomo wako acha ujinga.
 
Unasema mh.Lowassa ni mgonjwa..nikuulize swali..Je wewe ni mzima? Usiseme mwenzako mgonjwa wakati wewe mwenyewe ikitokea unafanyiwa check up utakuwa na mgonjwa mia kidogo....changa mdomo wako acha ujinga.
Edo mgonjwa tukubali tukatae.
 
mkuu ungeuliza tu ungekuwa bora sana sasa kuanza kutukanana si uungwana, utapata burn buree uanze kulalamika, soma maelezo yangu vzr mkuu hakuna nlipotukana au kama kiswahili si rafiki ungesema nikakuandikia kwa lugha yako...
Matusi ndiyo zao. Wamekumbatia FISADI watakuwa na hoja?
 
Safi Sana mh. Lowasa
Lazima tuwaonyeshe tofauti kati ya kutawala na kuongoza

Ukawa kuna viongozi wa kupigiwa mfano
Udikteta sio jadi ya chadema
Kwani mwenyekiti wenu mbowe anamda gani amekalia hicho kiti toka 2004.....Hivi kuna udictator zaidi ya huo......
 
Akizungumza katika mkutano wa mameya na wenyeviti wa Halmahauri watokanao na CHADEMA unaofanyika East Africa Hotel Arusha leo, Mh Lowassa amesema..

Tunataka halmashauri zetu ziwe za mfano Tanzania kwakuwa na Agenda ili tujue nikipi kipaumbele cha kuwatumikia wananchi, pia tuangalie Ni kitegauchumi kipi katika halmashauri husika kinaweza kuwapa wananchi wetu ajira.

Pili Tunataka kuimarisha Chama chetu kwa kushuka chini hadi ngazi ya Msingi ambapo ndipo walipo wanachama watu, (Grass Root.)

Pia nataka niwashauri Mameya wetu kuhakikisha wanashirikiana na wananchi katika kutekeleza ahadi ya Mabadiliko na Maendeleo.

Katika kikao hicho maalumu cha mkakati, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji na Katibu wa Kanda ya Kaskazini wampata fursa ya kutoa mafunzo mkakati na nasaa zao.
View attachment 364518 Picha ya pamoja bada ya session ya kwanza

View attachment 364519

View attachment 364520

View attachment 364521

View attachment 364522

View attachment 364523
Haya sasa chenyewe si kikao hao wanaojiita bavicha mbona hawajakizuia na wala polisi hawajazuia
Mimi si mwanasiasa lakini siasa za ulaghai za ovyo sana
 
Back
Top Bottom