Mpiga Ulimi
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 704
- 337
Hueleweki mkuuHaya sasa chenyewe si kikao hao wanaojiita bavicha mbona hawajakizuia na wala polisi hawajazuia
Mimi si mwanasiasa lakini siasa za ulaghai za ovyo sana
Hueleweki mkuuHaya sasa chenyewe si kikao hao wanaojiita bavicha mbona hawajakizuia na wala polisi hawajazuia
Mimi si mwanasiasa lakini siasa za ulaghai za ovyo sana
Hizo ni fikra potofu....Hapo ndipo nguvu ya fedha inapoonekana. Ukiongea wote wanafyata mkia kama mbwa kwa chatu. Huulizwi unaongea wewe kama nani? Kila kitakachofanyika lazima kipate idhini yako kwanza. Pesa inanunua hekima hata kama hukuwa nayo.
Zipi fikra nyoofu?Hizo ni fikra potofu....
Hayo ameweka kwenye websitehajafundisha kuhusu upigaji? maana maana edo yupo vzr kwenye hyo sector
Kasome kwenye websitekumbe ngoyai yuko vizuri kwenye habari za mafunzo kazi duh kweli UKAWA tuko vizuri
Muulize magufuliZipi fikra nyoofu?
We ulitaka dakika ngapiHotuba dakika 5... Atawafunda nini?
Magufuli kaingiaje kwenye hii madaMuulize magufuli
Lowassa ni bingwa wa mikakati. ni kawaida yake kujinasibu"sina msamiati wa kushindwa".(in lowassa voice),
kuliko mkapa na kikwete?hajafundisha kuhusu upigaji? maana maana edo yupo vzr kwenye hyo sector
Kwa akili yako unaweza kumuiga mbowe?Safi Sana mh. Lowasa
Lazima tuwaonyeshe tofauti kati ya kutawala na kuongoza
Ukawa kuna viongozi wa kupigiwa mfano
Udikteta sio jadi ya chadema
NdioKwa akili yako unaweza kumuiga mbowe?
Mkuu sio Ukawa tena?Mungu ibariki chadema .