Lowassa akiwa Rais...

Hata mm sioni sababu ya kumtaja Lowassa. Kwani aliwahi kukuambia kuwa atagombea Urais? au ni mawazo yako ktoto.
 
Jamani muwe na heshima, Masaburi ni jina la mstahiki Meya wa Jiji kuu la nchi yenu.
 
Kwani hamjui kuwa wapiga debe wa EL wamo humu jamani,wasameheni tu ila kwa hili la EL NOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!
 
Hakuna haja ya chuki, vijembe na siasa za maji taka ndani ya chama kimoja. Nadhani ikiwa hivi itafaa sana. Uwepo mkakati wa pamoja. Mafahari wawili wawekwe katika zizi moja kisha muafaka ndio njia rahisi ya kupata maridhiano. LOWASA akiwa rais, basi SITTA awe waziri mkuu. SITTA akiwa rais, LOWASA nae awe waziri mkuu. Nadhani mambo yatakuwa bambam. Dalili zinaonyesha kuwa wazee hawa wameanza kuchukua jaramba taratibu kwa ajili ya kupokea kijiti. Kama ni kweli. Basi nawatakia mbio njema.

It's very unfortunate siku hizi Tanzania yetu uongozi kuanzia ngazi ya juu unatolewa kama njugu.
 
Hakuna haja ya chuki, vijembe na siasa za maji taka ndani ya chama kimoja. Nadhani ikiwa hivi itafaa sana. Uwepo mkakati wa pamoja. Mafahari wawili wawekwe katika zizi moja kisha muafaka ndio njia rahisi ya kupata maridhiano. LOWASA akiwa rais, basi SITTA awe waziri mkuu. SITTA akiwa rais, LOWASA nae awe waziri mkuu. Nadhani mambo yatakuwa bambam. Dalili zinaonyesha kuwa wazee hawa wameanza kuchukua jaramba taratibu kwa ajili ya kupokea kijiti. Kama ni kweli. Basi nawatakia mbio njema.
SITTA nidhaifu sana ataongeza posho za mawaziri na wakuu wa idara kama alivyofanya kwa wabunge
 
yaani EL afanye remix ya uwaziri mkuu mstaafu,sidhani kama hilo linawezekana
 
Nchi imekuwa na hali ngumu. Ubadhirifu wa mali ya uma kila kona. Raia wamechoka! Mbaya zaidi hata ajira zao za kuokoteza mitaani wameacha kufanya na badala yake wanajadili vituko vya wanasiasa...Dhaifu kashindwa, anahitaji ushauri ili akae pembeni kwa amani aache vidume washike hatamu. Kwa hali ilipofikia nchi hii, hakuna kiongozi shupavu mwenye maamuzi magumu anayeweza kupokea kijiti na kutuinua zaidi ya LOWASSA. Ama kwa hakika hakuna. Natamani Mungu ashushe muujiza hata leo, nchi ipate ukombozi. Viongozi wenye maamuzi magumu hoyeeee!
 
huo ni mtizamo wako, umetumwa bado unataka kuwashawishi watanzania wairudishe ccm madarakani? Ama kwel uwatakii watanzania mema kajipange tena alafu urudi jukwaani hapa.
 
Hakuna haja ya chuki, vijembe na siasa za maji taka ndani ya chama kimoja. Nadhani ikiwa hivi itafaa sana. Uwepo mkakati wa pamoja. Mafahari wawili wawekwe katika zizi moja kisha muafaka ndio njia rahisi ya kupata maridhiano. LOWASA akiwa rais, basi SITTA awe waziri mkuu.

SITTA akiwa rais, LOWASA nae awe waziri mkuu. Nadhani mambo yatakuwa bambam. Dalili zinaonyesha kuwa wazee hawa wameanza kuchukua jaramba taratibu kwa ajili ya kupokea kijiti. Kama ni kweli.

Basi nawatakia mbio njema.

Kwa mpango huo kama watakuwa wamekubaliana kwamba lengo ni Maslahi-Tumbo, mpango huo utafanikiwa sana lakini kama lengo ni Maslahi-Taifa; hawatakubaliana kwa hiyo kila mtu atavutia upande wake in a vicious tug of war! basi haufai kabisa watatiliana sumu kwenye maji na hasara ya mvutano huo ni kwa watanzania wanyonge. in a popular vote; your idea is still born and shot down.
 
Hakuna haja ya chuki, vijembe na siasa za maji taka ndani ya chama kimoja. Nadhani ikiwa hivi itafaa sana. Uwepo mkakati wa pamoja. Mafahari wawili wawekwe katika zizi moja kisha muafaka ndio njia rahisi ya kupata maridhiano. LOWASA akiwa rais, basi SITTA awe waziri mkuu.

SITTA akiwa rais, LOWASA nae awe waziri mkuu. Nadhani mambo yatakuwa bambam. Dalili zinaonyesha kuwa wazee hawa wameanza kuchukua jaramba taratibu kwa ajili ya kupokea kijiti. Kama ni kweli.

Basi nawatakia mbio njema.

Unapoteza muda Lowassa is a sick person,hatutaki rais mgonjwa tena hapa.
 
Ama kweli ukustaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kwani CCM mmeishiwa na watu wa maana hadi mkalambe matapishi? Kwani kilichomuondoa EL madarakani hamkumbuki? kwani alisingiziwa? Mnafikiri atabadilika nini? kwa nini mnapenda kujuta maisha yenu yote? Ama kweli mmetawaliwa na Freemason!Shetani arudi madarakani, mtauzwa na kuchinjwa hadi nyinyi wenyewe, waume na wake zenu na watoto. Mtajuta. Tabia haina dawa. Hebu kumbukeni wizara zote alizoshika alifanya nini cha kuwasaidia watanzania. Ama ni hilo la shule za kata? huo ni uharibifu namba moja! Tatizo ni akili ndogo kuongoza akili kubwa!!!! Lowasa hana akili ya kuwaongoza wasomi, hana 'capacity hiyo'. Anatumia mabavu kuliko akili.Kwanza hajaturejeshea fedha na mali alizotuibia watanzania kama alivyoaagizwa na T.B. Joshua.
Tatizo la Sitta ni unafiki na ukigeugeu. CCM tafuteni sura mpya yenye akili, kama mmeishiwa achieni ngazi. Tumechoka na sura za zamani ambazo hazitusaidii, tunataka sura mpya ambazo zitatusaidia na kuiweka Tanzania katika sura ya ulimwengu kwa mafanikio, sio kwa maovu, ujinga na mauaji kama ilivyo sasa hivi. Aliyeanzisha ujinga huu, kama ametumwa ASHINDWE KATIKA JINA LA YESU KRISTO ALIYE HAI.
 
Back
Top Bottom