Datiusk Member Joined Jul 12, 2015 Posts 7 Reaction score 0 Jul 18, 2015 #121 Hakika Ikulu kunawapa kibuli wengi!!! Huyu jama anaganga na kufata Hera za kuwalipa waliothamini mbio zake za urais!!!!
Hakika Ikulu kunawapa kibuli wengi!!! Huyu jama anaganga na kufata Hera za kuwalipa waliothamini mbio zake za urais!!!!
SHEMGUNGA JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 667 Reaction score 149 Jul 18, 2015 #122 sababu kuu n kwamba unataka kuikomboa wewe isife masikin kwan nchi imeshataifishwa mda sana na kuuzwa na baba R kuna haja ya kuokoa tz yetu
sababu kuu n kwamba unataka kuikomboa wewe isife masikin kwan nchi imeshataifishwa mda sana na kuuzwa na baba R kuna haja ya kuokoa tz yetu
S Smwantuge Senior Member Joined Feb 14, 2014 Posts 154 Reaction score 29 Jul 18, 2015 #123 Hivi CCM E.Lowasa akiwa rais wa nchi hii kupitia UKAWA mtafanyaje? Yangu macho.
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,007 Reaction score 34,960 Jul 18, 2015 #124 Bado anawakati mgum sana