Lowassa akiwa Rais...

kwa kuwa mada yako umeelekeza kwa wasiompenda, binafsi namkubali ile mbaya, wasimkubali nawashauri wampinge kwa hoja, hata nyerere alishtakiwa na wakoloni, mwisho akawa rais wa tz, mandela alifungwa jela mwisho akawa rais wa south africa, zuma alikuwa na kashfa kibao mpaka leo ni rais wa south africa .mpaka leo najiuliza kwanini ile tume ya richmond kwanini haikumuhoji? binafsi naamini shida zote tunazopata watanzania leo hii ni kutokana na ile tume .
 
bado zipo asilimia za El kuwa rais japo hata wengine pia wapo!
kwa hakika ipo kazi 2015 na akiupata utakuwa ni uhakika kamili wa kutimiza zile ndoto njema alizonazo za kuwaunganisha watanzania wote kuvuna rasilimali zao zilizosalia maana mheshimiwa hakika yeye ametosheka na hii ni sifa mojawapo inayomtofauttisha na wanaccm wengine!
 
awezi kuwa raisi wa nchi kwa sababu asilimia kuwa ya watanzania awampendi lowasa kwa tuhuma za ufisadi
 
It is possible to happen,tuombe uzima tu ndugu zangu,time will tell we dont need to worry about it.
 
Atashindwa kuwashuguliakia mafisadi kwa sababu na yeye amehusika kwenye ufisadi mwingi, mafisadi watakuwa wanamblackmail (kama ambavyo yeye sasa hivi anavyomblackmail Kikwete) na matokeo yake ni mwendelezo wa kutokuwajibika na ufujaji wa raslimali za taifa.
 
Akiwa rais huyu jamaa EL itakuwa poa sana. Wavivu watalia sana. Waliomsingizia watahama nchi. " Mheshimiwa mwenyekiti kumbuka nilikushauri tuuvunje mkataba wa richmond lakini wewe ulikataa na ukasema ulishapata ushauri wa kamati kuwa lichmond ni bomba sana"
Lowasa akiwa chama chochote iwe ccm au chochote kile, lazima nimpigie kura.
 
umesahau hii watu wataheshimiana hasa katika maofisi ya serikali bse kwa sasa kila mtu ana sauti na kujiamulia kama anavyotaka ,thus kila mtu atajua majukumu yake,thus if any one hata meet target ya kuboresha uchumi he or she will be responsible
EDDO,EDO,EDDO,EDO,PRESIDENT 2015
 
...Kwa kasi hii... hadi ikifika 2015 tutapewa ahadi 20,000... ambazo zitahitaji miaka 50 kutekelezwa......
 
Akishinda nitamuheshi nakuamini kweli kuna midume isiyotetereka, kwa dhoruba zote hizi, du! El ni kiboko. Kama ni hela wangapi wana hela? kuna watu mpaka wanamaviwanda ya kutengeneza dawa feki lkn uenyekiti wa mkoa tu unawamwaga samadi.
 
Akiwa rais huyu jamaa EL itakuwa poa sana. Wavivu watalia sana. Waliomsingizia watahama nchi. " Mheshimiwa mwenyekiti kumbuka nilikushauri tuuvunje mkataba wa richmond lakini wewe ulikataa na ukasema ulishapata ushauri wa kamati kuwa lichmond ni bomba sana"
Kosa alilofanya ni kujiuzulu,kama alimlinda JK kwa kujiuzulu,ni nini kinakufanya kuamini kuwa hatamlinda akichukuwa urais?Msiweke matumaini kwa mwanadamu hata siku moja,tena wanasiasa?Msimjudge mtu kwa mambo ya kufikirika,alijiuzulu,hilo ni kosa,kwasababu alikubali makosa.Angekuwa na msimamo angetoa ushahidi wake ama kuweka ukweli wazi mbele za wananchi,badala yake aliona wananchi siyo wa maana zaidi ya nia yake ya kwenda ikulu kwa kujiuzulu ili serikali hii iendelee kuwepo bila wasiwasi akitegemea na yeye atalipwa fadhila kwenye mbio zake za kwenda ikulu.
 
Mimi binafsi nasema anatufaa bora tu aachane na visasi na azidishe ukali maana tanzania sasa inakuwa kama vile ni ya watoto.mgeni anakuja anachimba madini na kuondoka nayo kama vile hatuna vyombo vya usalama au viongozi husika hawayaoni haya.kesho kutwa wanawarudia wananchi kuwaomba kura.naomba muwafukuze na kuwakemea
 
Back
Top Bottom