Duh hii kiboko kweli. Mkuu, tufike mahali tumwonee huruma apumzike tu.
JPM mbele kwa mbele
Ha ha ha!
Magufuli kweli ndio habari ya mjini kwa sasa!!
Huyu Ndiyo Alichaguliwa Kwa Haki Na Wananchi
Mzimu wa LOWASSA, unaendelea kuitafuna serikali ya dhalimu ya CCM.
Umerudi!?Mzimu wa LOWASSA, unaendelea kuitafuna serikali ya dhalimu ya CCM.
Umerudi!?
Vipi kazi ya tallying imeisha?