Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

hapo kwenye red kuwa mkweli,waziri mkuu aliyefukuzwa kwa kufisidi nchi kupitia kampuni ya kitapeli ya RICHMOND

Najua upo kazini lkn ukweli ni kwamba Richmond ilikuwa ni kwa manufaa ya uongozi wa juu wa nchi. (Ndo ulimkataza asivunje huo mkataba) ref. Majibu ya swali linalohusiana na Richmond aloloulizwa na mwandishi siku alipoibwaga CCM pale Kunduchi beach hotel.
 
Na hata ile salamu ya chadema hadi akumbushwe kila siku. Poor chadema???
Una maana hata ile salaam ya chama ya people's power.............. nayo anashikwa na 'kigugumizi' kuitamka?

Basi mwaka huu kuna shughuli pevu, tusije tukashanga kuwa hata huyo mzee wa mamvi akawa amekuwa 'planted' na KITENGO kuja huko Chadema!
 
Mh. Edward Lowassa kabla ya kupokelewa na Chama Cha Chadema, aliwekewa sharti la kusema ukweli wote kuhusiana na tuhuma alizokua akituhumiwa.

Alifanya hivyo na kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia, ikaridhia kumpokea, isipokua katibu mkuu Dr. Slaa ambaye haonekani katika majukumu yake mpaka sasa.

Ikumbukwe kwamba, hayo aliyoyakiri Lowasa mbele ya kamati kuu alikua akiyafanya kipindi alipokua katika utumishi wa uma.

Lowassa kama mtumishi wa uma, alikua akipokea mshahara na marupurupu yote ambayo yanatokana na kodi zetu sisi wananchi. Hivyo wananchi tunakila sababu ya kujua ni ambo gani hayo yamezungumzwa kwa kamati kuu, ambayo yamewafanya wampokee.

Kamati kuu ya chadema, si wananchi wote wa Tanzania. Na kamati kuu pekee haikua ikilipa kodi ambazo zilitosha kulipa utumishi wa bwana lowassa, hivyo kama kuna maovu aliyoyafanya, aje akiri mbele yetu wote, tuyasikie na kuyapima, ili kama tunaamua kumsamehe na kumpa kura zetu, tufanye hivyo bila kurubuniwa na wachache ambao ndio waliomsikiliza.

Bila hilo kufanyika, bwn. Lowassa atakua mgombea wa kamati kuu ya chadema na si mgombea wa wanachadema, na akiwa rais, atakua rais wa kamati kuu ya chadema.

Bw. Lowassa, tunasubiri kukusikiliza, utuambie, tuamue wenyewe.
 
kuna hatar ya mahakama kumzuia lowasa asipitithibitishe na tume, ccm wanashawishi hilo, ikitokea hivo, je Ukawa itakuaje
 
havai gwanda cose anawakilisha Ukawa kwa tiketi ya chadema,
 
Safi sana hii, maana akiwa rais mgao wa umeme Tanzania itabaki historia tu, maana ile mvua ya malasya itakuja sasa
 
View attachment 273454

Hatimaye Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA ndugu Edward Lowassa ahutubia baraza Kuu la CHADEMA.

Katika hotuba yake Lowassa amesisitiza kuwepo na mshikamano na maelewano ndani ya chama kuelekea uchaguzi mkuu,huku akiwahakikishia wajumbe kuwa ushindi ni "lazima" maana mbinu na njia za "adui" zinajulikana.

Huyu ndio Rais wa kweli na mwenye mamuzi magumu kwa sasa watanzania wanamuhitaji. hao wengine ni wapiga deal, wawindaji harumu, mafisadi, wauza miadarati, na wenye tamaa ya kufaidi wao tu(ccm kakundi kadogo cha onyonyaji)
 
havai gwanda cose anawakilisha Ukawa kwa tiketi ya chadema,
Mkuu ccm imeishiwa sera baada ya mtia nia wao makofuli kugaragazwa na kupotezwa na Lowasa kwenye media na mitaani. wananchi wamehamasiki sana wanasubiri octoba wamchinje kidudu mtu na pango la wezi(ccm)
 
Guys the opposition methodological is to win election other things will follow after election.
Hayo mambo ya kuuliza magwada and so on has nothing to do with this great event which is taking place now.ccm imechanganikiwa sana kuhusu jamaa kuhama
 
Just thinking aloud! Mkakati wa kumkata Lowassa na kuishia kuingia kwenye UKAWA ulisukwa maalum kusambaratisha upinzani ambao kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania wapinzani wameubaliana kuwa kitu kimoja kukiondoa chama tawala. Hii ilikuwa ni hatari kwa watawala wakaamua kumtumia kada wao maarufu kusambaratisha upinzani. UKAWA kama mazuzu wameingia kwenye mtego kichwa kichwa na sasa wanaandaliwa kuchinjiwa baharini.

Hakuna kitu kama hiko.hawawezi kurisk kuwa na PM toka upinzani,vote of no confidence kwa rais,budget kupingwa,miswada kutopita kirahisi n.k sababu wabunge wa ukawa this time watakua wengi kwahyo watapoteza majority bungeni.hyo ni gharama kubwa mno.
 
hoja yako haina mashiko unafikiri wasomi wote wa UKAWA wanaakili kama zakwako? Ukiandika uwe unatumia akili usitumie maharage uliyokula jana
Typical CHADEMA fanatic! Fundi wa matusi hoja sifuri kabisa.
 
Back
Top Bottom