Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,465
- Thread starter
- #161
Hayo ni maswali ya msingi lakini angeanza kwanza kumtambua Rais wa awamu ya 5 Dr. JPM.
Pili analysis ya kufanya kabla hata ya siku Saba za Rais kuingia Ikulu ni premature. Mbona muda upo mwingi tuu???. Jambo hili lilipochukuliwa kishabiki hasa na huyu mwandishi wa habari ndio limeleta mkorogo. Mbaya zaidi hata hayo maswali 3 hakuyaweka.
Asante kwa ushauri.

Hivi watu wengine wakoje? Yaani hamjaona concern ya Mh Lowassa au ndo kujitoa akili?
Alichooji kiko clear, anataka kujua kama Serikali itafuta ada hata kwa Watoto walioshuleni kwa sasa au watakaoanza shule January?
Pili, anataka kujua kama Michango yote mashuleni itafutwa, maana hakuna maana kufuta ada arafu ukaacha Michango, ambayo Mara nyingi ni mikubwa hata kuliko ada yenyewe.
Sasa apo siasa iko Wapi?
Na Lowassa kama Raia Ana haki ya kuhoji chochote Serikalini.
Shilikisheni bongo zenu na Muache mihemko.