Lowassa Afunika Iringa

nitampa kula hata kama kafa.kama nimekubali kupigia jiwe na c ccm kwanin nisimpe lowasa?
 
Alafu kama hujui lazima watumie nguvu.zao kwa timing maana hizi kampeni siku 70 daily mikutano mitatu hadi minne.sio kazi ndogo wakuu
_Uliona kufuli alichemsha
_jk alichemsha mwanza hadi akaanguka
Hata uwe mzima vip kuhutubia kila siku alafu kila mkoa hali ya hewa tofauti sio mchezo
 
haiwezi malizwa kwa majibu mapesi vile ya sumaye.
wanaume 50+ years wanakuwa na prostate hypertrophy na wachache presha ya juu(hypertension kama sijakosea kizungu). hayo magonjwa hayazuii kabisa ufanisi kazini.
Ila kiharusi/stroke/paralysis na kisukari ni tofauti kabisa - vinashusha kabisa ufanisi wa kazi.
aacha porojo sumaye, watz wa leo siyo wajinga. lowasa ni mhanga wa kiharusi. sasa madhara ya kiharusi ni sawa na madhara ya prostate hypertrophy kwa mtu?!
 
ndiyo, ni moja ya kipimo cha chini sana. physical fitness. tunajua majukumu ya rais, haiingii akilini rais asiyeweza kusimama hata dakika 15 ataweza mudu majukumu ya urais.
Sumaye pia alizungumzia madai kuwa Lowassa ni mgonjwa. Alisema mtu akishapita miaka 50 anapata matatizo ya maradhi.
Lakini hata kama mgonjwa, urais unahitaji kiongozi kuwa makini tu, kazi zinafanywa na timu nzuri anayoiteua. "Kazi hii anaiweza Mhe Lowassa.," amesema.
Sumaye akasema kwamba kama Lowassa anasemwa na viongozi wa CCM kuwa ni mgonjwa, kwani hawajui kuwa Magufuli ni mgonjwa? Anakwenda Ulaya kila mwezi kufanya nini," alihoji.
Taarifa za ndani ya serikali zinasema kwamba Magufuli amekuwa akienda kubadilisha damu Ulaya kutokana na kuugua ugonjwa mkubwa ulio maarufu. Hatua hiyo ya kubadilisha damu kila mwezi inagharimu fedha nyingi ambazo analipiwa na serikali anayoongoza Rais Kikwete.
 
Ccm watakwambia ni picha za kutengeneza hizo
 
Angalia mgonjwa huyu wapi aliwahi kusimama?
 
Attachments

  • 1440957932603.jpg
    23.3 KB · Views: 183

mbona siku ya kwanza tu lowasa alishindwa zungumza dakika 15? lowasa anafahamika kwa afya mbovu toka apatwe kiharusi.
 
Mwenyekiti wa wachuma Mchicha Mafisadi CCM akiona hivi atasema picha zemeungwa ... Wananchi tayari wameamua kufanya mabadiliko... CCM na masalia yake hawaaminiki tena ..

Nikuyakataa kama Uganda walivyo mkataa idi amini
 
Nani ataamini kuwa hotuba hii ni ya kwake mwenyewe kama sio ya walioiandaa? Mbona vipaumbele vyake vile vinne havifafanuliwa?
1.elimu,2.elimu, 3.elimu, 4.Kumtoa babu seya na wahalifu sugu.
 
Angalia mgonjwa huyu wapi aliwahi kusimama?

unaweza shindwa tembea/simama kwa sababu nyingine na akili yako ikabaki super yakhe. Ila kiharusi kinaathiri akili/uwezo wa kufikiri na kuamua. mhanga wa kiharusi akishindwa simama muda mrefu inatia wasiwasi kama kichwani yupo sawa yakhe
 
Mkoa mmoja na majimbo yake yote so utaendelea ona picha tofauti kwa kila siku,,kama kesho mkoa mwengine na majimbo yake saa tofauti na mda tofauti
Endeleeni na hizi propaganda nyepesi nyepesi. Mwisho wa siku zitawakosti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…