georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,881
Tuache uzuzu, EL hatufai. Labda kama tunataka miaka 10 mingine ya misery. Alichofanya yeye, JK na Rostam kupitia Richmond itufungue macho. HATUFAI!!!Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.
Huyu jamaa ni kiboko.cdm wakisikia jina lake kitu kinagonga chupi
huyo wasira wako mwambie arudi kwanza porini evolution ikikamilika ndo arudi ajipange
Kuna Mijitu inatia hasira ***** zao ..Hata kama ni njaa ya pesa huku ni kujidhalilisha..Maisha yetu yamekuwa Maigizo!!..Mtu anaigiza mbele yetu na tunajua kabisa anaigiza..Leo Inasukuma gari kama Mishyoga..Kaifanyia nini nchi zaidi ya kuiingiza kwenye madeni na kuipa hasara??
Lini tutaelimika na kuacha siasa za ushabiki??
Masikini wa Akili ni Masikini kuliko Masikini yeyote yule..
Hii ndiyo Tanzania..Bado tuna safari ndefu sana..🙁
Tuache uzuzu, EL hatufai. Labda kama tunataka miaka 10 mingine ya misery. Alichofanya yeye, JK na Rostam kupitia Richmond itufungue macho. HATUFAI!!!
Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.
Imedhihirika leo kwamba mh
Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa
watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda
wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati
alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.
Mimi jana watu hao niliwaeleza hivi (soma bolded text) hapo chiniNdo nashagaa kuna watu wamebeba bango jana eti zitto kama mandela..!!! Ujinga mtupu
Kwanza ninampa Hongera sana Zitto kwa kufika salama nyumbani kwao Kigoma ya watanzania. Nina imani ujio wake huko utakuwa na maana sana kwa watanzania wanaoishi huko. Kwa kuangalia viunga vya mahali msafara umepita unaonyesha kabisa Zitto hajamaliza kazi ya kusaidia kuwaletea maendeleo watanzania waishio Kigoma.
Madhumuni ya 'post' hii ni kuonyesha kutofurahishwa na maneno ambayo yasemekana Zitto. Maneno hayo nimeyapaka rangi Nyekundu hapo juu.
Kama kweli Zitto ameyasema , basi amethibitisha kuwa ana udhaifu mkubwa wa kiuongozi. Ni udhaifu mkubwa kwa sababu huwezi kumtofautisha na Idd Amini (aliyekuwa Rais wa Uganda). Ni watu jamii ya Idd Amini waliokuwa wanajikweza kwa kujipa vyeo lukuki mbele ya wale anaowaongoza ni hii ni dalili ya ubinafsi, ambayo haifai kuwa sifa ya kiongozi bora. Sote tunajua alichoifanyia Uganda na Tanzania Idd Amini.
Pia nimesoma baadhi ya mabango kwenye picha yakisema " Zitto kama Mandela, Zitto kama Nyerere". Hao wote waliofananishwa naye hakuna hata mmoja ambaye alikuwa anajikweza juu ya wenzake , kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.
Ni haki ya watanzania waishio Kigoma kumpokea mbunge wao kama walivyofanya, lakini kama wanataka aendelea kuwawakirisha basi hawana budi ku'mfunda' Zitto zaidi kuwa kiongozi mwenye sifa zinazofaa.
Watanzania wote tupimwe akili huenda hatujitambui!
Mara hii ya Lowassa wameshayasahau!
itafahamika tu siku bado zipo twendeni pamoja kwanza tutaanza kuachana njia panda.
Watanzania wote tupimwe akili huenda hatujitambui!
Mara hii ya Lowassa wameshayasahau!
kweli nimeamini hicho kichwa umebeba kwaajili ya kufugia nywele tu,badala ya kufikiria,kwahy maisha magumu kwako yamechangiwa na lowassa,sass nikwambie tu maisha magumu yamesababishwa na wazaz wako,kama cyo wazaz ni ww pekeyako kutotaka kunijishughulisha
Huko kupendeka kwake unakuona wewe tu na wenzako wa aina yako (mliopewa vi-pesa ili mpe promo). But rest assured kuwa project yenu imeshindwa hata kabla haijaanza kuwa implemented! Kumbukeni KIBAYA CHAJIUZA...!
Wengi wanaomshabikia Lowassa hapa ni bendera fuata upepo, ukimuuliza mtu Who's Lowassa, unampendea nini?? Wengi hawana jibu sahihi la kukupa na wachache wenye majibu watakwambia ametupa HELA, hela kiasi gani utajibiwa elfu20 kila mtu na T-shirt.Only that.