Lowassa afunika dar

Lowassa afunika dar

Wewe mkono wako ni wa mjinga. Unaandika popote na lolote. Wewe familia yangu unaijua? Tumkubali Lowassa kwa lipi? Huyu angekuwa China angeishanyongwa, angekuwa Marekani, angekuwa jela na asingeingia kwenye siasa tena. Hapa Tanzania anategemea huruma ya watu kama wewe and the likes.

Najua unalipwa kuandika hivi ila watoto wako hawatalipwa na watakuwa watumwa kwenye taifa lao endapo huyu mtu atapata anachokitafuta. Natumia maneno ya waziri mstaafu, Fredrick Sumaye, "watanzania msipokuwa makini mtawakabidhi nchi wauza msdawa na mitandao yao" hels wanazogawa kwenye nyumba za ibada wanazipata kwa njia hizo na watazirudisha pindi wakimweka mwenzao. Sasa mimi na familia yangu tukubali nini hapo?

Kumbuka huyu mtu alishajiuzuru kwa kukubali kuliingiza taifa gizani hili ajipatie hela, ndugu yangu wewe ndo unaona ni mtu shujaa huyo?

Lakini si nyie nyie mlopewa kofia na kanga mkaona JK anawapenda? Endeleeni kuchimba ksburi. Kumbuka yupo Mungu pia.Kwa Mungu, Anayeliibia taifa mammilion kwa siku, anayepokea kofia na kanga, anayepewa boda boda, wote ni sawa....hivyo msidhani mtamnyooshea kidole Lowassa baada ya mambo kugeuka. Kama Mungu akimwadhibu Lowassa, hatawaacha ninyi pia.

Nchi ya Haiti maovu ya kushabikia ujinga kama huu yalikuwa yamefika mwisho. Watu kama Lowassa, wewe walikuwa wamejaa huko. Ilitumia sekunde 35 tu kuleta kilio kwa taifa lile. Sekunde 35. Si mtoto, si baba, si mama, si mzee....hakukuwa na kuchagua. Wote waliangamia.

Si huko tu, taifa za Burundi na Rwanda. Hawa nao ujinga wa chuki uliwafikisha kukatana mapanga na hakuna taifa lililoingilia kuwaokoa mpaka wakachoka.

Rafiki yangu, sidhani kama unaelewa naandika nini kwa jinsi ninavyokuona. Kina Lowassa wakishaipata nchi wataweka watu wao kuabzia usalama taifa hadi balozi wa nyumba kumi. Kama alivyofanya JK. Angalia usalama ulivyo sasa hivi.

Wakishafanya hivyo, hiyo pesa yao itarudi na wewe na mimi ndo tutailipa. Hutalalamika kwa sababu wao hawatatoa kucha na meno tu, watakuwa wanaua live hili hela yao irudi. Umeme tutalipa kwa bei wanayoitaka wao. Haitakuwa nchi tena. Kama unadhani sasa hivi nchi yetu inasifika kwa kuuza madawa, subiri hawa nashujaa wako waje. Watakuwa wanayasafirisha wenyewe na kwa sababu hiyo, tofauti kati ya tajiri ja maskini itakuwa kubwa muno. Hii ndo italeta machafuko nchini kwa sababu hata ukipewa buku 7, hazitakusaidia lolote kutokana na mfumuko wa bei. Utawala wa Lowassa hautakuwa na wapinzani. CDM, CUF na wengine, mkifanya mchezo huu ndo mwisho.

Sasa mimi na familia yangu kama unavyosema, tujue haya na tumkubali Lowassa? Hata inchi moja. Naipenda nchi yangu, napenda watu wake na zaidi naipenda familia yangu na kumwogopa Mungu, hivyo namkataa Lowassa kaka.

China ipi,? Ile yenye lilie kundi ovu la YAKUZA,ambao ni twin brothers na redbrigade
 
Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.

Nyi wabongo akili zenu ni makalio., huyu mtu ananuka rushwa na ufisadi., sakata la richmond lakin asiyesikia la mkuu huvunjika guu., mpeni urais muone
 
China ipi,? Ile yenye lilie kundi ovu la YAKUZA,ambao ni twin brothers na redbrigade
China kaka. Kule ukikamatwa hata na dawa ya kulevya, kifo ndo adhabu. Sasa iweje uibie taifa lako na kuliingiza gizani? Kujiuzuru tu haitoshi. Wanakunyonga!
 
Lowasa ni maarufu kuliko chama cha magamba a.k.a maccm.akiondoka na chama kinakufa.chezea mamvi
 
Wewe mkono wako ni wa mjinga. Unaandika popote na lolote. Wewe familia yangu unaijua? Tumkubali Lowassa kwa lipi? Huyu angekuwa China angeishanyongwa, angekuwa Marekani, angekuwa jela na asingeingia kwenye siasa tena. Hapa Tanzania anategemea huruma ya watu kama wewe and the likes.

Najua unalipwa kuandika hivi ila watoto wako hawatalipwa na watakuwa watumwa kwenye taifa lao endapo huyu mtu atapata anachokitafuta. Natumia maneno ya waziri mstaafu, Fredrick Sumaye, "watanzania msipokuwa makini mtawakabidhi nchi wauza msdawa na mitandao yao" hels wanazogawa kwenye nyumba za ibada wanazipata kwa njia hizo na watazirudisha pindi wakimweka mwenzao. Sasa mimi na familia yangu tukubali nini hapo?

Kumbuka huyu mtu alishajiuzuru kwa kukubali kuliingiza taifa gizani hili ajipatie hela, ndugu yangu wewe ndo unaona ni mtu shujaa huyo?

Lakini si nyie nyie mlopewa kofia na kanga mkaona JK anawapenda? Endeleeni kuchimba ksburi. Kumbuka yupo Mungu pia.Kwa Mungu, Anayeliibia taifa mammilion kwa siku, anayepokea kofia na kanga, anayepewa boda boda, wote ni sawa....hivyo msidhani mtamnyooshea kidole Lowassa baada ya mambo kugeuka. Kama Mungu akimwadhibu Lowassa, hatawaacha ninyi pia.

Nchi ya Haiti maovu ya kushabikia ujinga kama huu yalikuwa yamefika mwisho. Watu kama Lowassa, wewe walikuwa wamejaa huko. Ilitumia sekunde 35 tu kuleta kilio kwa taifa lile. Sekunde 35. Si mtoto, si baba, si mama, si mzee....hakukuwa na kuchagua. Wote waliangamia.

Si huko tu, taifa za Burundi na Rwanda. Hawa nao ujinga wa chuki uliwafikisha kukatana mapanga na hakuna taifa lililoingilia kuwaokoa mpaka wakachoka.

Rafiki yangu, sidhani kama unaelewa naandika nini kwa jinsi ninavyokuona. Kina Lowassa wakishaipata nchi wataweka watu wao kuabzia usalama taifa hadi balozi wa nyumba kumi. Kama alivyofanya JK. Angalia usalama ulivyo sasa hivi.

Wakishafanya hivyo, hiyo pesa yao itarudi na wewe na mimi ndo tutailipa. Hutalalamika kwa sababu wao hawatatoa kucha na meno tu, watakuwa wanaua live hili hela yao irudi. Umeme tutalipa kwa bei wanayoitaka wao. Haitakuwa nchi tena. Kama unadhani sasa hivi nchi yetu inasifika kwa kuuza madawa, subiri hawa nashujaa wako waje. Watakuwa wanayasafirisha wenyewe na kwa sababu hiyo, tofauti kati ya tajiri ja maskini itakuwa kubwa muno. Hii ndo italeta machafuko nchini kwa sababu hata ukipewa buku 7, hazitakusaidia lolote kutokana na mfumuko wa bei. Utawala wa Lowassa hautakuwa na wapinzani. CDM, CUF na wengine, mkifanya mchezo huu ndo mwisho.

Sasa mimi na familia yangu kama unavyosema, tujue haya na tumkubali Lowassa? Hata inchi moja. Naipenda nchi yangu, napenda watu wake na zaidi naipenda familia yangu na kumwogopa Mungu, hivyo namkataa Lowassa kaka.
Watu wote wangejadiri topic kama wewe nchi yetu ingekuwa mbali sana. Asante sana!
 
Nakubaliana na wewe ila kwa mujibu wako unaonekana unasema hakuna solution nchini. Mimi bado naamini kwamba mtu asiye rafiki wa hawa watu anaweza kuvunja mitandao yao. Kwa CCM ni Mwakyembe tu. Kina Dr. Slaa wanaweza maana wameonesha nia toka wako Bungeni, sasa sijui kwa nini sasa hivi tu doubt nia yao.

Lowassa ni mwizi tu. Anachokifanya ni kutafuta watu wepesi (cheap Tanzanians) kama boda boda...afu anasema boda boda oyeee! hivi katika karne hii unaweza kumwambia kijana wako kwamba bodaboda oyee??? kwamba tutafanya harambee hili kuongeza bodaboda? hii si sawa sawa na kuwambia wanafunzi kwamba tutaleta div. 5 hili kila mmoja ashinde ifikapo 2015? Huyu anaonga watu kwa njia ya kisasa. Anacheza na mawazo yao kwa sababu watu wenyewe hawajitambui. Dawa ya umaskini sio kumugawia kila mtu hela au gari au nyumba. Hili si tatizo letu Tanzania. Tatizo ni kwamba watu wachache, akiwemo yeye Lowassa, wanaliibia taifa na hivyo tunakosa maisha bora, yaani shule za kuandaa vijana kujitegemea, hospitali safi, barabara na matokeo yake tunakuwa na jamii ilojaa div.5 au madreva wa bodaboda...ambao Lowassa anawapenda (kwa mujibu wake). Huu ni ujinga at its best. Lowassa anatoa rushwa kwa watu cheap.

Nakuhakikishia watanzania mkifanya mistake, Lowassa atawafanya mumuone Kikwete kama geneous. Mkataeni haraka.
Nahisi anapoteza fahamu akiwa anaongea...angalieni video yake (bodaboda). Huyu mtu anahararisha umaskini.
Asante Michael kwa uchambuzi
 
Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.
Mkuu vipi kuhusu Richmond? au ndio imeshasahaulika tena ule mkataba wa kifisadi uliokuwa engineered na Mh.
 
Ndiyo upumbavu tulionao sisi watanzania, nimeamini akili ya kufikiri au kutizama mbali hatuna kabisa. Nakumbuka kipindi kile wakati Lowasa natuhumiwa kwa masuala yake ya rushwa mpaka akifikia hatua ya kujiuzulu karibia asilimia yote ya watanzania tulimchukia sana huyu muheshimiwa na tliunga na kufurahia ile kamati ya akina Mwakyembe ya kufichua mafisadi. Nashangaa leo tena hata sijui inatokea wapi nakuta watanzania tunatokea kumpenda Lowasa na kuona kama ndiye mkombozi wetu, hivi najiuliza huyu jamaa kuna kitu gani ameifanyia nchi mpaka inafikia kupendwa kiasi hiki wakati tulimchukia sana ?. Nkumbuka pia Jakaya tulimpenda sana na tukaona ndiye atakuwa mkombozi wetu lakini leo hii hatutaki hata kumskia jina lake kwenye maskio yetu, hii kitu ya kumpenda mtu kulingana na uwezo wake kifedha, muonekano wake ya kimaumbile, dini yake na hata kabila ndiyo vigezo ambavyo watanzania wengi wapumbavu, wasiojielewa, wasiokuwa na future pia wavivu kufikiria ndio wanavitumia katika kumchagua mtu awe kiongozi wao bila kujali vile vigezo stahiki ambavyo mgombea yoyote wa uongozi awe navyo. Sisemi kama Lowasa anataka kugombea ila nimefikiria mbali kidogo kwamaba endapo itatokea huyu jamaa akasimama kwenye uchaguzi nina uhakika atashinda tu maana ameshateka wapumbavu wengi na ndio ambao wengi wana kadi za kupigia kura

sana haya yote uliyo yaandka unaonekana una wivu,rejea kweny kumbukumbu wakat mwingne ukae na wazaz wako watakuambia vizur mambo mazuri ya kimaendeleo aliyoyafnyia nchi,tatzo ni umekurupuka
 
wewe usiongelee watanzania wote, sema ulimchukia sio watanzania walimchukia. Halafu kutuhumiwa sio kosa. Akisimama atashinda sio kwa sababu ya pesa yake bali ni kiongozi pekee anae kubalika kwa takriban watanzania wote hata kwa wapinzani. Hivi umewahi kuwasikia cdm wakimsema vibaya huyu jamaa?au na wao hawasemi kwa sababu ya pesa yake?

tatizo la baadhi ya watanzania wanapenda kusikia ubaya wa mtu zaidi! Na ndo maana ukimwita mtu mwizi watu wanaanza kumshambulia bila kuuliza kaiba nini!
Ni ukweli kwmb lowasa anakubalika sio kwa sababu ya pesa alizo nazo bali ni kwa sababu ya uwezo wake wa kutumia kipaji alicho nacho kuwa karibu na jamii. Mimi binafsi bado natafakari hivi hao wengne wanaotajwa kuwa na uwezo wa kugombea mbona hawaonekani kuisaidia jamii tena wngne wako madarakani km mawaziri.? Watanzania wanahitaji watu wakuwaongoza katika kutatua kero zao. Mfano tajiri km bowe anashindwa kufanya harambee za kimaendeleo badala ya kuitisha maandamano na tukamkubali?!
 
Mkuu vipi kuhusu Richmond? au ndio imeshasahaulika tena ule mkataba wa kifisadi uliokuwa engineered na Mh.

hilo zigo la bwana mkubwa!!nakushangaa unauliza maswali marahisi kiasi hicho!!!hta kama hujui kusoma hata kusoma picha inakushinda?watanzania wanamsubir wampe nchi Lowassa,manake babu mwenyew ameshapoteza uelekeo,kama ndio huyo amekuja na sera za gonga unategemea nn
 
tatizo la baadhi ya watanzania wanapenda kusikia ubaya wa mtu zaidi! Na ndo maana ukimwita mtu mwizi watu wanaanza kumshambulia bila kuuliza kaiba nini!
Ni ukweli kwmb lowasa anakubalika sio kwa sababu ya pesa alizo nazo bali ni kwa sababu ya uwezo wake wa kutumia kipaji alicho nacho kuwa karibu na jamii. Mimi binafsi bado natafakari hivi hao wengne wanaotajwa kuwa na uwezo wa kugombea mbona hawaonekani kuisaidia jamii tena wngne wako madarakani km mawaziri.? Watanzania wanahitaji watu wakuwaongoza katika kutatua kero zao. Mfano tajiri km bowe anashindwa kufanya harambee za kimaendeleo badala ya kuitisha maandamano na tukamkubali?!
Una macho lakini u kipofu. Nina maswali machache kwako, hivi ukaribu na jamii ulikuwa wapi wakati anasign deal ya Richmond? Hizo harambee mbona zimeanza sasa hivi na yeye amekuwa serikalini toka mwanzo? Unatatua matatizo ya watanzania kwa harambee? Ni lini ataitisha harambee ya kurudisha hela ya watanzania hasa ya deal ya Richmond?
Ndugu yangu, tatizo la nchi yetu si kwamba hatuna harambee za kutosha au matajiri hawachangi. Tatizo ni viongozi wachache, Lowassa akiwemo wameliibia taifa na hivyo tumebaki maskini. Sasa wanakuja na hela yetu hiyohiyo kama kutukomboa (harambee). Wanategemea watu kama wewe...wasiojielewa kuwapa support. Warudishe hela za Richmond, madini na waache kuwapa madawa vijana wetu hili wawauzie nje. Nakuhakikishia wakifanya hivyo, hatutahitaji harambee hata moja.
 
ujembe wake ni kuwanunulia wote t-shirt? kwa hela za wizi

sasa kama mnakula hata hela ya ruzuku mnashindwa kuwanunulia boda boda,mnategemea nn?ina maana kwamba hata mkipewa nchi bado tu,hamtawasaidia,afadhali ya lowassa mwenye moyo wa kutoa
 
Una macho lakini u kipofu. Nina maswali machache kwako, hivi ukaribu na jamii ulikuwa wapi wakati anasign deal ya Richmond? Hizo harambee mbona zimeanza sasa hivi na yeye amekuwa serikalini toka mwanzo? Unatatua matatizo ya watanzania kwa harambee? Ni lini ataitisha harambee ya kurudisha hela ya watanzania hasa ya deal ya Richmond?
Ndugu yangu, tatizo la nchi yetu si kwamba hatuna harambee za kutosha au matajiri hawachangi. Tatizo ni viongozi wachache, Lowassa akiwemo wameliibia taifa na hivyo tumebaki maskini. Sasa wanakuja na hela yetu hiyohiyo kama kutukomboa (harambee). Wanategemea watu kama wewe...wasiojielewa kuwapa support. Warudishe hela za Richmond, madini na waache kuwapa madawa vijana wetu hili wawauzie nje. Nakuhakikishia wakifanya hivyo, hatutahitaji harambee hata moja.

We jamaa usitudanganye lowasa haku sign deal ya richmond..aliwajibika kwa namna mchakato ulivyoendeshwa..mkuu wako..ukitaka jua uwezo wa lowasa angalia kipindi chake xha uwaziri mkuu nchi ilikua vp...na kama unadai ni fisadi leta data za ufisadi wake sio porojo tu..jamaa ni jembe na unao uwezo wa maamuzi ambao mkuu wenu hana..na km akiwa na afya njema nn hakika akigombea anapata sio kwa sababu anapendwa bali anaweza.
 
Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.

Baadhi ya Watanzania vichwa vyao vipo kama vya samaki!wanakaangwa na mafuta yao wao wanaendelea kusifia Lowasa Jembe! Inashangaza hawajiulizi hao watu wanaochanga hizo hela wanazipata wapi?hwajiulizi atazilipaje? Kama anauwezo alipokuwa PM mbona shida hizi hizi zilikuwepo? Machinga mlifukuzwa kariakoo wakati akiwa PM?Wamasai wenyewe huku munduli wanakunywa maji kwenye madimbwi, maji wengine wanafuata zaidi ya kilomita 5 au 10. Mnaota tu Lowasa asahau uraisi. Lowasa hana nia njema na nchi hii. Sijaona raisi anayegawa rushwa aitendee nchi meme. Ikipita harambee watoa rushwa wanafuatia. Acheni ujinga, mnaomsifia Lowasa sijaona tofauti na Wale Jamaa zangu wa CCM walioambiwa vichwa Kama samaki na Mheshimiwa Karume. Naamini CCM watamchinjia mbali na atatokwa na machozi siku hiyo. Lowasa akiwa raisi nchi hii itakuwa kama Mexico, wauza unga watatumaliza.
 
We jamaa usitudanganye lowasa haku sign deal ya richmond..aliwajibika kwa namna mchakato ulivyoendeshwa..mkuu wako..ukitaka jua uwezo wa lowasa angalia kipindi chake xha uwaziri mkuu nchi ilikua vp...na kama unadai ni fisadi leta data za ufisadi wake sio porojo tu..jamaa ni jembe na unao uwezo wa maamuzi ambao mkuu wenu hana..na km akiwa na afya njema nn hakika akigombea anapata sio kwa sababu anapendwa bali anaweza.

Acha kujifurahisha tu ndugu yangu. Lowasa hana lolote. Hana vision wala mission. Yupo tu kugawa hela za rushwa ili awe raisi. Hela ni zaidi ya uraisi. He is the dead wood. Alipokuwa waziri mkuu niambie amefanya nini?Taja list ya mambo aliyoyafanya?
 
Back
Top Bottom